Ukweli: Mama Samia ataondoka TEC itakuwepo mnapoteza muda kulaumu ukweli. lakini TEC imekuwepo toka miaka ya 60's na itakuwepo akiondoka na hawezi kufanya lolote huo ndiyo ukweli.
Serikali badala ya kupigana na vyombo ambayo hawaviwezi ni bora wafuate ushauri wa kuacha kuteka, kuleta katiba mpya, kuacha rushwa, kuacha kunyanyasa upinzani na kesi fake. Watanzania sio TEC wanataka mabadiliko.
Mama Samia ogopa sana Mungu Magufuli aliwabishia wakati wa Covid na kuwasema leo yuko wapi? na wewe unaenda kwenye njia hiyo hiyo