Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Kwa nini Korea ya Kaskazini ni masikini na ya Kusini ni tajiri ilhali ni jamii moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Mungu kafeli na project ya Blacks!?!!?😇😇Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara!
Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo,
Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee?
Kila alipo mtu mweusi katika Dunia hii ni shida tupu aisee,
Mwanzo nikajua Africa ni bara la giza kumbe watu wenyewe ndio giza lenyewe na Sio bara kama bara.
Haya sasa angalia wale WaAmerica Weusi shida tupu yaani saikolojikale ni Wabongo kabisa.
Kila kitu lawama tu mara oh watu weupe wanatubagua, mara ooh kisa utumwa ndio maana tumeathirika na bla bla kibao ila now wapo huru ndio wanaoongoza kuuana wenyewe kwa wenyewe, mitaani ni magenge na uhalifu wa Madawa na umalaya wa kijinga plus kupenda maisha ghari pasi na pesa wala Elimu.
Huku shithole ndio usiseme Chama chakavu kipo madarakani miaka zaidi ya 60 na serikali yake ila hata maajabu hakuna.
Bado huko zimbabwe na Somalia kote yale yale tu hakuna nafuu.
Yaani serikali zinazoshindwa hata kujenga mitaro ya maji machafu daaa basi tu,
Lengo la mada ilikua ni kwamba Waafrika ni failed project hatuna mchango kwa Dunia zaidi ya kuinyonya na kuharibu tu nothing more hivyo napendekeza kama nature inaweza kufanya kazi ni itumeze na Dunia ijirestart upya we are useless kama unabisha subirini muone comments zenu zinavyosadifu yaliyomo kwenye thread!
Nawatakia makasiriko mema na povu la buku jero maswali ya kiwaki kama
'wewe kama wewe umefanya nini?
Na so maoni yako ni nini au solution?
Kwa ufupi sina cha kufanya na nawatakia harakati njema!
UnaHakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara!

Una makasiriko makubwa sana. Yaani hata salamu umeona ni mzigo? Sogea karibu na Daktari wa Akili upate ushauri.Watu weusi kinachofanya tunaishi hivi sasa ni kuchelewa kupata elimu. Elimu inamfanya mtu anastaarabika na kutumia zaidi akili kuliko nguvu.
Ukiangalia kwa Afrika, elimu imekuja miaka ya 1900(ni kama juzi tu) na bado sio wote walifanikiwa kupata, ni wachache sana walifanikiwa kupata. Hii ina maana kua wengi wetu tumelelewa na wazazi wasiokua na elimu ambao waliamini zaidi katika malezi ya kibabe kuliko kumjenga mtoto kua mtu bora. Matokeo yake wengi tunakua watu wazima tusio na busara na ustaarabu ambapo sasa ndo tunaishia kuishi kama wanyama.
Mi naona shida kubwa kwa watu weusi ni elimu. kwa mfano hata kiaangalia kwa makabila ambayo angalau yalipata elimu mapema zaidi kwa jinsi wanavyoishi(mfano Wachaga) utagundua elimu ina mchango mkubwa sana kwenye mfumo wa maisha ya binadamu.
Shida inayofatia hapa sasa ni ubora wa elimu. Hii inaweza kufanya watu wakaonekana wamepata elimu ila kutokana na ubovu wa elimu ikawa ni kama hawana elimu, na mbaya zaidi unawakuta wameshika nyadhifa
Hakika, this bars are beyond measures👏MTU yeyote anaye decline responsibility huwa anakuwa anapata sauti mbili tu.
Sauti ya kwake
Sauti ya vishawishi.
Hivyo huwa hapati sauti ya tatu yenye mantiki(maana)
Hapa Africa ndo unakuta MTU anamlalamikia MTU kuwa kamzuia asitoboe
Anamroga
Mara shetani kamzuia n.k
Hivyo ukiwa hauna sauti ya maana Akili Ina-block ule mtiririko wa maono na mafunuo revelation
Tuletee facts zinazothibitisha kuwa Korea kaskazini ni masikini.Kwa nini Korea ya Kaskazini ni masikini na ya Kusini ni tajiri ilhali ni jamii moja?
Uongo kwamba hakuteswa ? Hizo Sugar Cane plantations ulikuwa unalima wewe ? Hao black Americans wote au Liberia waliorudishwa kutoka utumwani ni ndoto ? Nimemwambia mleta uzi huwezi kuweka mentality ya black American ukashangaa wanachofanya wakati ni uzao wa watumwa na watu waliobaguliwa..., Watu waliokuwa wanakuwa-lynched n.k. Na mada kubwa zaidi ni culture... wewe huwezi tangia unakua wazazi wako wanakwambia mtu mweupe ni mbaya na kukumbushia walichofanya alafu usiwe na negativity na huyo mtu....Hii Tabia ya kuona mtu mweusi ndio kateswa Dunian huu ni uongo.
Kusoma kwa mafungu na sio content yote...., nimeanza mwanzo kabisa kukwambia necessity is the mother of all invention..., Japan walikuwa hawana natural resources hivyo kutaka na kujaribu kuwa-colonize China.., Wachina katika mataifa duniani ambayo yalipiga hatua kubwa ni mojawapo... invention nyingi zilianzia China..., Europe kwa kuona hivyo na kujaribu kuwa-subjugate na ili biashara yao ya Bangi iendelee waliwafanyia mambo ya ajabu sana na kufanya majority wawe addicted....; Kipindi hicho mataifa hayo yanafanya yao na sisi huku tulikuwa na empires zetu na tunaishi civilized life...., hakuna Continent ambapo slavery ilikuwa na effect kama African content (among all the continents) Na huenda sisi hatukuhitaji kwenda kutafuta huko colonies sababu tulikuwa hatua shida...., Ingawa Egypt na shida zao / Jangwani huenda ndio maana civilization ilikuwepo huko wakati sehemu nyingine walikuwa wanaishi barbaric life.....Nenda kafuatilie mateso ya wajapan na wachina. Ila Leo hii china na Japan ni mataifa makubwa.
Na nimesema empires rise and fall kuna kipindi Greece, Rome, Baghdad n.k. walikuwa mbali..., kuna kipindi Great Britain ilikuwa Great kweli..., dunia ya leo isiyo na mabavu ishakuwa kijiji the rules of the game are different..., ingawa bado ingredient kubwa ni utamaduni...Kafuatilie Korea na Japan ila Leo Korea ni Habari nyingine.
Hiyo ulaya wenyewe Kwa wenyewe wametesana vita na mapanga ila Leo wamenyooka.
Huko Serbia ndio usiseme.
Una-conquer ili kutafuta nini ? Necessity narudia tena is the mother of all invention.., sasa silaha zetu sisi zilikuwa ni za kuulia wanyama na sio kutengeneza merikebu kwenda kuvamia wengine...; Ingawa wa-Morroco - Moors wali-conquer spain...; sasa niambia hapo nani alikuwa civilized sisi wa kuishi within our boundaries na empires za hapa na pale au wale waliotoka huko (majambazi kuja kutafuta chakula huku)Mku umeongea kwa hisia sana na ni kweli ,but hujajibu swali,kama unavyosema ni sahihi,ilikuwaje black people wakakubali kuwa conquered na whites,mpka kukubali kubebwa kama watumwa mpaka Amerika?Swali hapo ni je kwanini kwenye historia hakuna hata nchi moja ya black ime conquer white? Kama binadamu wote ni sawa?
Maendeleo ni nini na kwa metric zipi ? Kama unaongelea maendeleo ambayo tunangojea tuletewe na viongozi wetu wenye fikra za utegemezi basi hatuwezi kuendelea sababu ni kama sisi ni wachezaji na refa ni mwingine na ukiwa na mawazo tofauti (kama kiongozi) hususan wakati ule yatakukuta yaliowakuta kina Sankara, Lumumba na Kwame to name just a few....Na kwanini nchi zote duniani zenye watu weusi hakuna hata nchi moja imeendelea zaidi ya nchi za whites.
Culture zao / kizazi cha watoto wa watu ambao wamekulia kwenye apartheid na wengine wamekulia kwenye lynching na kubaguliwa unategemea nini ? Community zao huko walipokuwa walichukuliwa na kwenda kutupwa kwingine hawana identity zaidi ya kujijengea nyingine..., full of hatred and mistrust (and with good reasons)...Kwanini hata kwenye neighborhood za black kule South Afrika na Marekani hali ni ile ile je changamoto ya mwafrika(black) ni nini? Kwanini mwafrika yupo nyuma kila sekta?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara!
Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara!
Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo,
Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee?
Kila alipo mtu mweusi katika Dunia hii ni shida tupu aisee,
Mwanzo nikajua Africa ni bara la giza kumbe watu wenyewe ndio giza lenyewe na Sio bara kama bara.
Haya sasa angalia wale WaAmerica Weusi shida tupu yaani saikolojikale ni Wabongo kabisa.
Kila kitu lawama tu mara oh watu weupe wanatubagua, mara ooh kisa utumwa ndio maana tumeathirika na bla bla kibao ila now wapo huru ndio wanaoongoza kuuana wenyewe kwa wenyewe, mitaani ni magenge na uhalifu wa Madawa na umalaya wa kijinga plus kupenda maisha ghari pasi na pesa wala Elimu.
Huku shithole ndio usiseme Chama chakavu kipo madarakani miaka zaidi ya 60 na serikali yake ila hata maajabu hakuna.
Bado huko zimbabwe na Somalia kote yale yale tu hakuna nafuu.
Yaani serikali zinazoshindwa hata kujenga mitaro ya maji machafu daaa basi tu,
Lengo la mada ilikua ni kwamba Waafrika ni failed project hatuna mchango kwa Dunia zaidi ya kuinyonya na kuharibu tu nothing more hivyo napendekeza kama nature inaweza kufanya kazi ni itumeze na Dunia ijirestart upya we are useless kama unabisha subirini muone comments zenu zinavyosadifu yaliyomo kwenye thread!
Nawatakia makasiriko mema na povu la buku jero maswali ya kiwaki kama
'wewe kama wewe umefanya nini?
Na so maoni yako ni nini au solution?
Kwa ufupi sina cha kufanya na nawatakia harakati njema!
hapa umemaliza kila kitu haya mkalale"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
[Emphasis is added]