Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi.

Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi.

Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga!

Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
 
Kama ishu ni madai tutaona response za wachezaji wengine Kesho kwenye game yao na KMC
 
Utakuwa ujinga wa mwaka Club kumlea mchezaji mzuri kwamba asiguswe kwa hofu kwamba ataondoka kwenda timu pinzani - mi naona ifike muda kama anataka kusepa asepe na kama anataka kuishi Simba basi aishi kwa ADABU.
 
hamna ishu ya madai, jamaa ni staa hataki kukimbizwa kimbizwa kwenye mazoezi na hao wasaidizi wa kocha. Yale yale ya Hamis Thobias Gaga, mazoezi hataki anataka kupangwa game.

Wachezaji wa namna hii ni shinda.
 
Unakumbuka sokomoko aliloleta wakati msimu unaanza tu.

Uongozi wa Simba unamwogopa
 
Ndio maana anapost vi clip akipiga chuma? Muda ni jibu lakini.
Ngoja tuone
 
Unakumbuka sokomoko aliloleta wakati msimu unaanza tu.

Uongozi wa Simba unamwogopa
toka mwaka umeanza ana maajabu gani?? kocha huyu sio low profile kocha hawezi kufanya kazi na mzee mzembe kama chama, safari imeivaa

saidoo ni mkubwa mbali tuu kwa umri hata kimafanikio lakini jamaa anavyopambana utashangaa huwezi kumuona analeta dharau kwa kocha hata mara moja ndio maana saidoo kila kocha atampenda maana anajitolea hadi tone la mwisho sio chama sasa.

mpuuzi simba hatumtakii aendeee hata utopolo shenzi zake
 
🤣🤣🤣 imekuwa hivi tena?
 
Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi.

Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi.

Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga!

Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
Huu ni ukweli kwani hata huku Simba anasugua bench tu. Chama yuleeee siyo Chama huyu. Aje aungane na chapii mwenzake Mkude.
 
Back
Top Bottom