hamna ishu ya madai, jamaa ni staa hataki kukimbizwa kimbizwa kwenye mazoezi na hao wasaidizi wa kocha. Yale yale ya Hamis Thobias Gaga, mazoezi hataki anataka kupangwa game.Kama ishu ni madai tutaona response za wachezaji wengine Kesho kwenye game yao na KMC
Unakumbuka sokomoko aliloleta wakati msimu unaanza tu.Utakuwa ujinga wa mwaka Club kumlea mchezaji mzuri kwamba asiguswe kwa hofu kwamba ataondoka kwenda timu pinzani - mi naona ifike muda kama anataka kusepa asepe na kama anataka kuishi Simba basi aishi kwa ADABU.
Ndio maana anapost vi clip akipiga chuma? Muda ni jibu lakini.hamna ishu ya madai, jamaa ni staa hataki kukimbizwa kimbizwa kwenye mazoezi na hao wasaidizi wa kocha. Yale yale ya Hamis Thobias Gaga, mazoezi hataki anataka kupangwa game.
Wachezaji wa namna hii ni shinda.
toka mwaka umeanza ana maajabu gani?? kocha huyu sio low profile kocha hawezi kufanya kazi na mzee mzembe kama chama, safari imeivaaUnakumbuka sokomoko aliloleta wakati msimu unaanza tu.
Uongozi wa Simba unamwogopa
🤣🤣🤣 imekuwa hivi tena?toka mwaka umeanza ana maajabu gani?? kocha huyu sio low profile kocha hawezi kufanya kazi na mzee mzembe kama chama, safari imeivaa
saidoo ni mkubwa mbali tuu kwa umri hata kimafanikio lakini jamaa anavyopambana utashangaa huwezi kumuona analeta dharau kwa kocha hata mara moja ndio maana saidoo kila kocha atampenda maana anajitolea hadi tone la mwisho sio chama sasa.
mpuuzi simba hatumtakii aendeee hata utopolo shenzi zake
Huu ni ukweli kwani hata huku Simba anasugua bench tu. Chama yuleeee siyo Chama huyu. Aje aungane na chapii mwenzake Mkude.Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi.
Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi.
Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga!
Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.