Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

watanzania tunapenda ujinga kuliko nchi yoyote africa ndo maana tunamuona manara wa maana
Where is your logic,? Huwezi kututukana kwa kwa kulike post ya manara wewe chako chenye akili kina viewers au followers wangap?
 
Wewe na manara wote ni punguani wahedi mtu timamu hawezi kesha mitandaoni kama manara kupost utumbo badala ya kupost content za maana kwa siku anapost mara 30 halafu post zote utumbo yaani 30×30=900 hakuna mtu mwenye akili anafanya hvyo sema kwa vile watanzania tunapenda ujinga kuliko nchi yoyote africa ndo maana tunamuona manara wa maana sana.
Nawewe post content za maana tuone.
 
Sasa kwani safari hii kafanya kosa gani?
Mbona yeye mwenyewe kwenye press yake alikiri kuwa alikosa,pia kitendo cha kwenda kuomba radhi ni uthibitisho kuwa alikosea sasa wewe ni nani kupingana na nafsi ya Haji Manara kuhusu kukubali kosa? Na kumbuka pia Haji Manara alishafanya makosa haya akafungiwa enzi za Malinzi akaja kufunguliwa na Karia huyu anayemtukana. Elewa kusamehewa hakufuti kosa,makosa yake yapo kwenye records za TFF hivyo hukumu yake ilizingatia kuwa ana makosa ya kujirudia rudia.
 
Huu ndiyo ukweli Mchungu
1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake.

2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana.

3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi aendelee kujihusisha na soka kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii na afungue channel ya michezo ya YouTube.

4. Taasisi kama TFF ingekuwa na ushawishi tungeona Ina followers wengi online lakini followers wa kurasa zote za TFF ukizijumlisha hazifikii hata robo ya followers wa Haji kwenye mtandao wa Instagram sasa hapo Kuna ukubwa gani?

5. Siku ya Mwananchi MC wa tukio ni Haji Manara na hapangiwi chakusema na wapuuzi wapuuzi. Siku hiyo ndo utaona ukubwa wa Haji ukilinganisha na tiefuefu.

6. Ndugu yangu Majaliwa wewe ndiye uliyemwingiza Karia madarakani hapo TFF, si unakumbuka simu ile ya sikuile? Unamkumbuka aliyekupa hayo maelekezo? Sasa umpigie simu Karia leo mwambie mambo yamebadilika.

7. Haji Manara usifuate uamuzi huu wa wahuni, endelea kutupa raha bila kutetereka, nyuma yako kuna ulinzi mkubwa wa wananchi.

NB: Baada ya uamuzi huu, Followers zaidi ya 40,000 wameongezeka kwa Haji Manara, hapo Kuna watu wanatanani kuwa unfolisha wote😂😂😂
kama ni mkubwa kuliko TFF basi aanzishe ligi yake
 
Huwezi tishia maisha ya binadamu mwenzio halafu uachwe kwa ukubwa wako hilo la Kwanza. Jambo jingine kuchafua tasnia ya mpira wa miguu kwa kutoa lugha mbaya kwa viongozi wa tff. Jambo la tatu aliomba msamaha kwa kuhofu kushtakiwa kwenye mahakama za kiraia na si kamati ya maadili ya tff. Amestaili adhabu tena ashukuru adhabu ni ndogo nje ya hapo ilitakiwa asijihusishe tena kwenye mpira mpaka Mungu achukue chake.
 
uyo kiboko yake ni jerry mulo yule ndiye chizi mwenzake japo amekuja nyumbani yanga ila uyu jamaa GSM walitukosea sana kutuletea uyu jamaa wakamtosa Nugaz tuliyepambana nae kipindi tuko vibaya kiuchumi alikubali kuitwa majina yote na manara lakini ukumsikia akitukana wala kumvunjia heshima manara ..manara ujiona yeye ni mkubwa zaidi ya chochote apa tanzania alishawai kutuita yanga kuwa ukimtoa Baba yake na mzee jakaya wote tuliobaki hatuna akili alafu mtu uyo uyo GSM wakatuletea nawalaumu TFF adhabu waliyompa ni ndogo ilitakiwa apigwe angalau 5yrs
 
Kama ni mkubwa kuliko tff afute hiyo adhabu.

Kuna vitu vya ajabu mashabiki mnaaminishana aisee.
 
Huu ndiyo ukweli Mchungu
1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake.

2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana.

3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi aendelee kujihusisha na soka kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii na afungue channel ya michezo ya YouTube.

4. Taasisi kama TFF ingekuwa na ushawishi tungeona Ina followers wengi online lakini followers wa kurasa zote za TFF ukizijumlisha hazifikii hata robo ya followers wa Haji kwenye mtandao wa Instagram sasa hapo Kuna ukubwa gani?

5. Siku ya Mwananchi MC wa tukio ni Haji Manara na hapangiwi chakusema na wapuuzi wapuuzi. Siku hiyo ndo utaona ukubwa wa Haji ukilinganisha na tiefuefu.

6. Ndugu yangu Majaliwa wewe ndiye uliyemwingiza Karia madarakani hapo TFF, si unakumbuka simu ile ya sikuile? Unamkumbuka aliyekupa hayo maelekezo? Sasa umpigie simu Karia leo mwambie mambo yamebadilika.

7. Haji Manara usifuate uamuzi huu wa wahuni, endelea kutupa raha bila kutetereka, nyuma yako kuna ulinzi mkubwa wa wananchi.

NB: Baada ya uamuzi huu, Followers zaidi ya 40,000 wameongezeka kwa Haji Manara, hapo Kuna watu wanatanani kuwa unfolisha wote😂😂😂
Namba 5 umetokota,utopolo watapigwa faini ya ajabu na karipio kali.
Bila Simba Haji angekuwa anauza matikiti sokoni kariakoo
 
Sisi huku Pwani hata ukinitukana au kunivunjia heshma naweza kukuomba radhi bila shida yoyote

si ajabu msaidizi wako ofisin sometime kumuita 'Mkuu'

wahenga husema 'hewallah si utumwa'
Nyinyi watu wa Pwani hatuwachukulii serious kabisa. Nyie hata ukimfumania mkeo na mwanaume mwingine nyie ndiyo mnaona haya!!

Wake zenu ndiyo wanaambiwa lazima wawe na mafiga matatu
 
Back
Top Bottom