Where is your logic,? Huwezi kututukana kwa kwa kulike post ya manara wewe chako chenye akili kina viewers au followers wangap?watanzania tunapenda ujinga kuliko nchi yoyote africa ndo maana tunamuona manara wa maana
Hahahaa, makolo banaKama tayari ana followers 40,000 kwa sababu ya kufungiwa na TFF basi kufungiwa kwake kumeleta faida. Hivyo acheni kulialia sasa kuwa kaonewa
Nawewe post content za maana tuone.Wewe na manara wote ni punguani wahedi mtu timamu hawezi kesha mitandaoni kama manara kupost utumbo badala ya kupost content za maana kwa siku anapost mara 30 halafu post zote utumbo yaani 30×30=900 hakuna mtu mwenye akili anafanya hvyo sema kwa vile watanzania tunapenda ujinga kuliko nchi yoyote africa ndo maana tunamuona manara wa maana sana.
Mbona yeye mwenyewe kwenye press yake alikiri kuwa alikosa,pia kitendo cha kwenda kuomba radhi ni uthibitisho kuwa alikosea sasa wewe ni nani kupingana na nafsi ya Haji Manara kuhusu kukubali kosa? Na kumbuka pia Haji Manara alishafanya makosa haya akafungiwa enzi za Malinzi akaja kufunguliwa na Karia huyu anayemtukana. Elewa kusamehewa hakufuti kosa,makosa yake yapo kwenye records za TFF hivyo hukumu yake ilizingatia kuwa ana makosa ya kujirudia rudia.Sasa kwani safari hii kafanya kosa gani?
kama ni mkubwa kuliko TFF basi aanzishe ligi yakeHuu ndiyo ukweli Mchungu
1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake.
2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana.
3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi aendelee kujihusisha na soka kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii na afungue channel ya michezo ya YouTube.
4. Taasisi kama TFF ingekuwa na ushawishi tungeona Ina followers wengi online lakini followers wa kurasa zote za TFF ukizijumlisha hazifikii hata robo ya followers wa Haji kwenye mtandao wa Instagram sasa hapo Kuna ukubwa gani?
5. Siku ya Mwananchi MC wa tukio ni Haji Manara na hapangiwi chakusema na wapuuzi wapuuzi. Siku hiyo ndo utaona ukubwa wa Haji ukilinganisha na tiefuefu.
6. Ndugu yangu Majaliwa wewe ndiye uliyemwingiza Karia madarakani hapo TFF, si unakumbuka simu ile ya sikuile? Unamkumbuka aliyekupa hayo maelekezo? Sasa umpigie simu Karia leo mwambie mambo yamebadilika.
7. Haji Manara usifuate uamuzi huu wa wahuni, endelea kutupa raha bila kutetereka, nyuma yako kuna ulinzi mkubwa wa wananchi.
NB: Baada ya uamuzi huu, Followers zaidi ya 40,000 wameongezeka kwa Haji Manara, hapo Kuna watu wanatanani kuwa unfolisha wote😂😂😂
Mleta mada hana akili kama asemavyo huyo aliefungiwaSa kama ni mkubwa kuliko tff mbona tff ndo imemfungia??[emoji23][emoji23][emoji23]
Soma # 31 utaelewa.Sasa kwani safari hii kafanya kosa gani?
Kwani adhabu aliyopewa ambayo imemuongezea hao followers aliiomba?. Makolokolo bana.Sas Kama kafungiwa na kaongeza followers basi aombe kuongezewa adhabu ili followers waongezekee zaidi
Namba 5 umetokota,utopolo watapigwa faini ya ajabu na karipio kali.Huu ndiyo ukweli Mchungu
1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake.
2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana.
3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi aendelee kujihusisha na soka kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii na afungue channel ya michezo ya YouTube.
4. Taasisi kama TFF ingekuwa na ushawishi tungeona Ina followers wengi online lakini followers wa kurasa zote za TFF ukizijumlisha hazifikii hata robo ya followers wa Haji kwenye mtandao wa Instagram sasa hapo Kuna ukubwa gani?
5. Siku ya Mwananchi MC wa tukio ni Haji Manara na hapangiwi chakusema na wapuuzi wapuuzi. Siku hiyo ndo utaona ukubwa wa Haji ukilinganisha na tiefuefu.
6. Ndugu yangu Majaliwa wewe ndiye uliyemwingiza Karia madarakani hapo TFF, si unakumbuka simu ile ya sikuile? Unamkumbuka aliyekupa hayo maelekezo? Sasa umpigie simu Karia leo mwambie mambo yamebadilika.
7. Haji Manara usifuate uamuzi huu wa wahuni, endelea kutupa raha bila kutetereka, nyuma yako kuna ulinzi mkubwa wa wananchi.
NB: Baada ya uamuzi huu, Followers zaidi ya 40,000 wameongezeka kwa Haji Manara, hapo Kuna watu wanatanani kuwa unfolisha wote😂😂😂
Nyinyi watu wa Pwani hatuwachukulii serious kabisa. Nyie hata ukimfumania mkeo na mwanaume mwingine nyie ndiyo mnaona haya!!Sisi huku Pwani hata ukinitukana au kunivunjia heshma naweza kukuomba radhi bila shida yoyote
si ajabu msaidizi wako ofisin sometime kumuita 'Mkuu'
wahenga husema 'hewallah si utumwa'