Ukweli Mchungu: Halima Mdee hawezi kukubalika kwa wanachama wa CCM ndani ya CCM


Kushabikia SIASA maana ake nn ndgu!?
 
Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!

Wafuata mkumbo utawajua, ukisikia watu wamesema neno na ww unarukia, ukiulizwa utoe ufafanuzi kati ya uanaharakati na mwanasiasa huna maelezo yoyote ya maana.
 

Je Magufuli na Kikwete nani mwanasiasa na yupi ni mwanaharakati kwenye muktadha huo huo? Ili nijue kama unajua usemalo.
 
Wafuata mkumbo utawajua, ukisikia watu wamesema neno na ww unarukia, ukiulizwa utoe ufafanuzi kati ya uanaharakati na mwanasiasa huna maelezo yoyote ya maana.
Halima James Mdee na Tundu Antipas Lisu ni wanaharakati ndio maana Polepole hakuwahitaji!
 
SI MUMEWATUKANA KUWA NI COVID 19, KWA NINI BADO MUNAWEWESEKA NDOTONI HUKO UFIPANI?? MUWAACHE WAMAMA WA WATU. MUMESHA WATIMUA KWENYE CHAMA CHENU, YANINI KUWASHINDISHA MIDOMONI MWENUU???
Mbona unapenda kuandika comment hii kwa kila post?
 
Ila mlango uko wazi kama atahiari kurudi nyumbani!!
 
Kinachofanya waongelewe siyo kuhitajika kwao ndani ya Chadema Bali Ni kitendo walichokifanya ambacho moja kwa moja kinawafanya watu waone Kama Ni watu ovyo tofauti na hadhi ambayo watu waliwapa mwanzoni. Hakuna mwanachadema ambaye amesimama upande wait kwamba wasifukuzwe Bali kila mwanachadema ameunga mkono kufukwa kwa Hawa vibaka.
 
Ata zito mlisema kutoka kwake chadema ndio mwisho wake kisiasa leo hii wanachadema mnakaa kusubiria zitto kasema nini ili mjazie jazie tunyama kwenye stori zenu.
 
Kuishi kwenye familia ambayo hujazaliwa nayo - yaani umekutana nayo ukubwani tu inakuwa ni ngumu mno... !!
 
Mbona unapenda kuandika comment hii kwa kila post?
Nikuwakumbusha makamanda nikwajinsi gani wamekurupuka kuwakkandamiza wamama hawa, kisa wake zao hawamo kwenye hizo nafasi nyetii. Nitaandika hivyohivyo mpaka mtakapoacha kuwasengenya wamama hao.
 
Sasa simumeshawatimua kwa mbwembwe na matusi, yanini kuwashindisha midomoni hao mliowabatiza covid 19?
 
Kesho mzee Mdee ana press conference ambayo ameandaliwa na TISSs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…