Ukweli mchungu: Hamtaamini Stars itakavyocha mikeka yenu

Ukweli mchungu: Hamtaamini Stars itakavyocha mikeka yenu

naziona goli nyingi mno game ya kwanza watapigwa 5 ya pili 5 na yatatu 3 jumla goli 13 wao watafunha goli 3 tuu ktk match zote.
 
Mm naamini hivi:Stars haitaongoza kundi na wala haitashika nafasi ya mwisho kwenye kundi.Nafasi yake itakuwa 2 au 3.Kumbuka timu zote hizi zinacheza ugenini.
 
Bora nishabikie hawa Wanawake wa Cameroon kuliko hao Stars
FB_IMG_1561059699625.jpeg
 
Kila laheri Taifa Star's! Ila nyie hater's kumbukeni kuweka akiba ya maneno msije kulamba matapishi yenu kwa aibu.
 
Uzalendo ni kitu chema lakini usitupofushe sana tukasahau uhalisia.

Wote tunataka Taifa Stars ifanye vizuri lakini lazima tuwe realistic. Wenzetu wanaomba kwa Mungu kama tunavyofanya sisi. Mungu hamtuoi mja wake. Wote sisi ni watu wake. Kinachobaki ni ubora wa vikosi, maandalizi yalikuwaje na kukaa vizuri kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom