๐๐๐๐๐ hawajagoma kama kaka zao? wapo vizuri kweli .Bora nishabikie hawa Wanawake wa Cameroon kuliko hao StarsView attachment 1133162
Stars itawafunga kenya , kwa Senegal itashinda au droo na Algeria ndiyo itakuwa shida kidogo
Amunike awaandae kisaikolojia na stamina/kasi . Wachezaji wote wawe na stamina na kasi ya msuva