Ukweli mchungu: Hamtaamini Stars itakavyocha mikeka yenu

Ukweli mchungu: Hamtaamini Stars itakavyocha mikeka yenu

Bora nishabikie hawa Wanawake wa Cameroon kuliko hao StarsView attachment 1133162
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hawajagoma kama kaka zao? wapo vizuri kweli .

Stars itawafunga kenya , kwa Senegal itashinda au droo na Algeria ndiyo itakuwa shida kidogo
Amunike awaandae kisaikolojia na stamina/kasi . Wachezaji wote wawe na stamina na kasi ya msuva
 
Watu hawana matumaini kwamba Stars itapata matokeo ktk mechi yoyote AFCON hivyo Basi wazee wa kuweka mzingo wamepanga 'kuiua' Stars Tena kwa stake kubwakubwa.
Nawaambia hivi, hamtaamini hi Stars ya kina Sonso itakavyofanya maajabu
Sana labda ujuma ndio itakayo wadhoofisha.. Mungu ibariki Taifa Mungu ibariki Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
 
Back
Top Bottom