Haya bhana!!!! Endeleeni kuidharau timu yenu ya Taifa😁😁😁😁
Aaah unadhani tutakuwa kama Iceland?Haya bhana!!!! Endeleeni kuidharau timu yenu ya Taifa
Hapa Stars wanaweza kushinda mechi mbili na ya tatu ikawa sare, haaooooo 16 boraAaah unadhani tutakuwa kama Iceland?
Better beSure Mm nakubaliana na wewe
Ndoto nazo zinaruhusiwa piaHapa Stars wanaweza kushinda mechi mbili na ya tatu ikawa sare, haaooooo 16 bora
We kutoa sare na Zimbabwe unadhani sio hatua kubwa hiyo ht km ni mechi ya kirafiki!!!??Ndoto nazo zinaruhusiwa pia
Bora tu uwaambie mkuuMm naamini hivi:Stars haitaongoza kundi na wala haitashika nafasi ya mwisho kwenye kundi.Nafasi yake itakuwa 2 au 3.Kumbuka timu zote hizi zinacheza ugenini.
Bora nishabikie hawa Wanawake wa Cameroon kuliko hao StarsView attachment 1133162
[/QUOTE
Aiseeeeeeee
Hatari sana
Safi sana mkuuNipo na STAZ!
Kwa Jua!
Kwa Mvua!