Ukweli mchungu: Hamtaamini Stars itakavyocha mikeka yenu

Bora nishabikie hawa Wanawake wa Cameroon kuliko hao StarsView attachment 1133162
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawajagoma kama kaka zao? wapo vizuri kweli .

Stars itawafunga kenya , kwa Senegal itashinda au droo na Algeria ndiyo itakuwa shida kidogo
Amunike awaandae kisaikolojia na stamina/kasi . Wachezaji wote wawe na stamina na kasi ya msuva
 
Sana labda ujuma ndio itakayo wadhoofisha.. Mungu ibariki Taifa Mungu ibariki Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…