Hili la simba kucheza nusu fainali CL hata CAF wenyewe hawalitambui, nihuko kwenu Mechepe tu.Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,
Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko
Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo
Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda
Kuingia fainali
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Ya kihistoria, au mmesahau kuwa nyinyi ndio mabingwa wa kuzungumzia Mambo yaliyopita.Mshaanza kuokoteza okoteza, sijui alicheza nusu failnali mwaka 70 ilikuwa nusu fainali ya mashindano gani?
Kwasasa Kila shabiki was yanga amejitengenezea dunia yake au kasha km la konokono na kuamini Mpira wa Africa kwa Sasa Ni wa yanga na Afruka Ni Yanga. Yaani hakuna tiny bora km Yanga kwa Sasa.Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,
Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko
Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo
Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda
Kuingia fainali
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Kaaziwezi zikawa bure. Kumbuka, pamoja na haya mambo ya utano lakini kitendo cha Simba kufika hatua za makundi mara kwa mara kiliwaongezea points walizo nazo hivi sasa ambapo ni namba 9 katika vilabu kumi bora Afrika.Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,
Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko
Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo
Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda
Kuingia fainali
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,
Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko
Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo
Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda
Kuingia fainali
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Sawa mkuuMAWAZO YA AJABU SANA HAYA;
KWANI YANGA WANASHINDANA NA SIMBA KOMBE LA AFRICA???
MIMI NI MSHABIKI WA YANGA KINDAKI NDAKI LAKINI NILIKUWA NAWAOMBEA SANA SIMBA WAFUZU NA NILITAMANI TUWE HATA NA TIMU NNE ZILIZO FUZU
HII NI KWA SABABU; TIMU ZIKIINGIA HUKO; NCHI INAPATA NAFASI YA KUTAMBULIKA KIMATAIFA NA KUFAIDIKA MAMBO MENGI ZAIDI YA MPIRA
USHABIKI WETU UWE WA HUKU NDANI ILA HUKO KIMATAIFA, TUUNGANE KUITANGAZA NCHI YETU!!!