Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

Kwasasa katika bara zima la Afrika zipo timu chache sana zinazo weza kumzuia Yanga, Nafikiri hazi zidi 3/4 kwaiyo Yanga kucheza nusu fainali ya klabu bingwa msimu huu ni swala la muda tu.
Na ikawe hivyo
 
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,

Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko

Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo

Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda

Kuingia fainali

Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu

Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Hili la simba kucheza nusu fainali CL hata CAF wenyewe hawalitambui, nihuko kwenu Mechepe tu.
 
IMG-20230929-WA0014.jpg
 
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,

Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko

Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo

Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda

Kuingia fainali

Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu

Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Kwasasa Kila shabiki was yanga amejitengenezea dunia yake au kasha km la konokono na kuamini Mpira wa Africa kwa Sasa Ni wa yanga na Afruka Ni Yanga. Yaani hakuna tiny bora km Yanga kwa Sasa.

Ni mawazo yanayoshangaza Sana, sijui Ni ujinga au uelewa ndogo, sijui!

Hii Ni timu yenye miaka 25 BILA kucheza makundi klabu bingwa Afruka, imefanikiwa na Sasa tayari wanajiona wao Ni mabingwa. Inachekesha Sana!

Kila la kheri mtani ktk ndoto zenu! Tafsiri ya ndoto hii Ni uwanjani!
 
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,

Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko

Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo

Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda

Kuingia fainali

Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu

Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Kaaziwezi zikawa bure. Kumbuka, pamoja na haya mambo ya utano lakini kitendo cha Simba kufika hatua za makundi mara kwa mara kiliwaongezea points walizo nazo hivi sasa ambapo ni namba 9 katika vilabu kumi bora Afrika.
Kingine wamesaidia kuongeza thamani ya ligi yetu na kuipa mileage, so hakuna jitihada zilizoenda bure. Jitihada zinazoenda bure ni pale unapochukua Ubingwa na kuwa bora kabisa kwenye ligi ya nchi yako halafu kila wakati unaishia kutolewa kwenye mtoano.
 
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,

Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko

Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo

Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda

Kuingia fainali

Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu

Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?

MAWAZO YA AJABU SANA HAYA;
KWANI YANGA WANASHINDANA NA SIMBA KOMBE LA AFRICA???
MIMI NI MSHABIKI WA YANGA KINDAKI NDAKI LAKINI NILIKUWA NAWAOMBEA SANA SIMBA WAFUZU NA NILITAMANI TUWE HATA NA TIMU NNE ZILIZO FUZU
HII NI KWA SABABU; TIMU ZIKIINGIA HUKO; NCHI INAPATA NAFASI YA KUTAMBULIKA KIMATAIFA NA KUFAIDIKA MAMBO MENGI ZAIDI YA MPIRA
USHABIKI WETU UWE WA HUKU NDANI ILA HUKO KIMATAIFA, TUUNGANE KUITANGAZA NCHI YETU!!!
 
Nilicheki Fainali CL iliyopita Warabu wako vizuri......Al Ahal aliedeshwa haswaa na WayD. Yanga wange MN bakisha Mayele pale ningewapa fainali
 
MAWAZO YA AJABU SANA HAYA;
KWANI YANGA WANASHINDANA NA SIMBA KOMBE LA AFRICA???
MIMI NI MSHABIKI WA YANGA KINDAKI NDAKI LAKINI NILIKUWA NAWAOMBEA SANA SIMBA WAFUZU NA NILITAMANI TUWE HATA NA TIMU NNE ZILIZO FUZU
HII NI KWA SABABU; TIMU ZIKIINGIA HUKO; NCHI INAPATA NAFASI YA KUTAMBULIKA KIMATAIFA NA KUFAIDIKA MAMBO MENGI ZAIDI YA MPIRA
USHABIKI WETU UWE WA HUKU NDANI ILA HUKO KIMATAIFA, TUUNGANE KUITANGAZA NCHI YETU!!!
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom