Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
NInavyofahamu Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ni nafasi kubwa sana, uteuzi wake inabidi uwe wa umakini mkubwa na utulivu na siyo lazima ufanywe baada ya Uchaguzi tu kwa karibu nafasi zote kama alivyofanya Lissu.
Nimepitia Majina ya hao watu Lissu aliowateua zaidi ya Lema wengine naona uwezo wao ungebakia hukohuko waliko kuliko katika nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu, kidogo huyo Rose Mayemba ila na yeye nasema kidogo angalau but bado.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Sijajua Lissu hajiamini anaona Kamati Kuu ana watu wachache watamgeuka ndiyo maana kajaza tu watu harakaharaka kwa hofu au ni kweli alifanya analysis ya kutosha ya hao watu.
Anyway wacha ya Ngoswe tumuachie Ngoswe, Napokea Povu.