NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC.
Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2, na namba 3, alipokuja Gamond akamficha bench kwa Sababu zisizojulikana.
Ujio Wa kocha mpya Yanga SC, ulimfanya Kibwana arudi tena na alikiwasha haswaaa Baada ya hapo tukaanza kumuona Mwenda ambaye alishindwa kumkaba Daudi Kaseke tu , na Upande wake ulikua ndiyo uchochoro Mkubwa.
Maoni yangu : Mwenda Siyo beki Wa kumtegemea, kama Benchi la Ufundi la Yanga SC wameshindwa kumtumia Kibwana Shomari ni bora atolewe kwa Mkopo akaoneshe talanta yake huko na siyo kumuweka benchi.
Kibu Denis, Bernad Morrison wanamtambua bwana mdogo Kibwana Shomari (king'ang'a), huyu dogo aliitwa mpaka timu ya Taifa Winga walipata tabu sana mbele ya hiii talanta.
Aliwahi kusema Khalid Aucho "Kibwana Shomari ni mchezaji anayenishangaza sana Maana Anacheza Miguu yote"