Ukweli mchungu kuhusu KINANA

Ukweli mchungu kuhusu KINANA

Watanzania wana akili nyepesi sana!

Binafsi naamini ni tatizo la upungufu wa mlo kamili ndio chanzo cha upeo mdogo wa watanzania wengi, mfano ni mleta mada.

Kwa akili ya kawaida kabisa, utagundua huyo mnafiki Msigwa kushadadia suala la Kinana kuwa ana husika na ujangili ni kutaka umaarufu wa bei rahisi.

Wenzake wakina Zitto na makamanda wengine walikuwa wakiibua masuala ya siri mno ya kulihujumu taifa yanayo fanywa na watendaji wasio waadilifu. Ndio maana mchango wa Zitto katika kukomboa raslimali za nchi hauwezi kubezwa na yeyote yule.

Hili suala la Kinana ni la tangu 2008 huko, na INTERPOL walichunguza wakabaini kuwa Kinana ahusiki, sasa kelele za Msigwa za nini hapa? Kwenye ili Msigwa asahau kuwa atatambulika miongoni mwa wabunge machachali kwenye medani za siasa hapa nchini.

Inabidi watanzania mshtuke nia ya huyu Msigwa kupeleka hotuba iliyojaa masimango, kashfa na uongo wa kupitiliza pale bungeni, nia kubwa ya Msigwa ni kumchafua Katibu Mkuu wa CCM taifa, wala hakuwa na maslahi mengine zaidi ya ili.

Ila kama ilivyo ada, njia ya muongo ni fupi, watanzania wazalendo na wafatiliaji wameujua ukweli, na malengo ya Msigwa hayajatimia katika juhudi zake za kumchafua Kinana.
 
Ikiwa shutuma zinazotolewa dhidi ya katibu Mkuu wa CCM bwana Kinana kuhusika na ujangiri nizakweli basi, napata wasiwasi kuhusu uwezo wa serikali kudhibiti rasilimali za nchi. Au nd'o kusema kila mtu anachukua chake mapema?
pale serikali? Kabila gani wewe?HUo uzushi utawafikisha wapi CDM? hata kama kungekuwa na ukweli, binafsi naona bora ujangili kuliko UGAIDi
 
Thibitisha kuwa ni hoja ya kutungwa.
Ndege inaposagirisha madawa ya kulevya haina maana mmliki wa ndege hiyo anafanya biashara ya madawa ya kulevya, huo ni uthibitisho tosha kuwa ni hoja ya uongo. Leta uthibitisho wa wazi kama ule wa Lwakatare mkuu, ile haina ubishi yule ni GAIDI.
 
Kwa kweli, heri katibu mkuu, muongo, mfitini, mnafiki, mzinzi, mwezi mchanga na kibabu.
MKuu unafikiri hilo wanaliona basi?SLA baada ya kumsaliti LUDOVICK na kushindwa kumuokoa LWAKATARE sasa ameona pige majungu.
 
Wanajua wamekabwa koo sasa wanatafuta mamna ya kuichafua ccm
,hakuna hoja hapa ni ujinga mtupu.
 
Enzi za chama kushika hatamu si ingekuwa balaa!
 
Hivi tembo wakiisha si watatuuza sisi?. Hivi imebaki miaka mingapi kinana kumaliza tembo wote?
 
Watanzania wana akili nyepesi sana!

Binafsi naamini ni tatizo la upungufu wa mlo kamili ndio chanzo cha upeo mdogo wa watanzania wengi, mfano ni mleta mada.

Kwa akili ya kawaida kabisa, utagundua huyo mnafiki Msigwa kushadadia suala la Kinana kuwa ana husika na ujangili ni kutaka umaarufu wa bei rahisi.

Wenzake wakina Zitto na makamanda wengine walikuwa wakiibua masuala ya siri mno ya kulihujumu taifa yanayo fanywa na watendaji wasio waadilifu. Ndio maana mchango wa Zitto katika kukomboa raslimali za nchi hauwezi kubezwa na yeyote yule.

Hili suala la Kinana ni la tangu 2008 huko, na INTERPOL walichunguza wakabaini kuwa Kinana ahusiki, sasa kelele za Msigwa za nini hapa? Kwenye ili Msigwa asahau kuwa atatambulika miongoni mwa wabunge machachali kwenye medani za siasa hapa nchini.

Inabidi watanzania mshtuke nia ya huyu Msigwa kupeleka hotuba iliyojaa masimango, kashfa na uongo wa kupitiliza pale bungeni, nia kubwa ya Msigwa ni kumchafua Katibu Mkuu wa CCM taifa, wala hakuwa na maslahi mengine zaidi ya ili.

Ila kama ilivyo ada, njia ya muongo ni fupi, watanzania wazalendo na wafatiliaji wameujua ukweli, na malengo ya Msigwa hayajatimia katika juhudi zake za kumchafua Kinana.

Mangi mbona unatokwa na povu bila sababu ebu tuambie zile pembe zilizokutwa kwenye meli yake ughaibuni hasemi zilikuwa za nani
 
Akili yako haina tofauti na
mgonjwa wa kigwangala,ukiona mtu amekomalia hoja ya kutungwa lazima
upate wasiwasi na upeo wake.

Mkuu unataka kuniambia Mh Kigwangala anaumwa?..
 
Hivi tembo wakiisha
si watatuuza sisi?. Hivi imebaki miaka mingapi kinana kumaliza tembo
wote?

Kagasheki amesema ni ndani ya miaka 7, lakini hili linategemea sana SPEED ya jangiri kinana kwenye kuwaua hao tembo...
 
Ndege inaposagirisha madawa ya kulevya haina maana mmliki wa ndege hiyo anafanya biashara ya madawa ya kulevya, huo ni uthibitisho tosha kuwa ni hoja ya uongo. Leta uthibitisho wa wazi kama ule wa Lwakatare mkuu, ile haina ubishi yule ni GAIDI.
Mwambie Makinda amwamuru Msigwa atoe uthibitisho. thatha mbona Lema yeye aliambiwa aprove kuwa JK ni muasisi wa udini? Kwa nini huyu aliyetoa tuhuma nzito namna ile spika aminye? thatha tunajadili thuala la Kinana na thio la Lwakatare. Ilibidi Msigwa aambiwe athibitishe la sovyo inabaki kama Msigwa alivyosema. Kinana ni mtuhumiwa!
 
Kwa kweli, heri katibu mkuu, muongo, mfitini, mnafiki, mzinzi, mwezi mchanga na kibabu.

Ofcourse kwani hivyo vyote havina uhusiano na raslimali zetu zinazostahili kutunufaisha watanzania wote. Kinacho niuma sana ni pale tembo wetu watakapo isha kwa kung'olewa meno na mheshimiwa jangili
 
manake mwenyekiti wake wa ccm anatoa kibali cha kuendeleza ujangiri tangu acgukue nci tembo 49 wanakufa kila mwezi mwenyekiti wa ccm akifurahia utajiri wao binafsi hivi unajua na kiwanda cha kusaga meno ya tembo yasemekana cha kwake
 
Watanzania wana akili nyepesi sana!

Binafsi naamini ni tatizo la upungufu wa mlo kamili ndio chanzo cha upeo mdogo wa watanzania wengi, mfano ni mleta mada.

Kwa akili ya kawaida kabisa, utagundua huyo mnafiki Msigwa kushadadia suala la Kinana kuwa ana husika na ujangili ni kutaka umaarufu wa bei rahisi.

Wenzake wakina Zitto na makamanda wengine walikuwa wakiibua masuala ya siri mno ya kulihujumu taifa yanayo fanywa na watendaji wasio waadilifu. Ndio maana mchango wa Zitto katika kukomboa raslimali za nchi hauwezi kubezwa na yeyote yule.

Hili suala la Kinana ni la tangu 2008 huko, na INTERPOL walichunguza wakabaini kuwa Kinana ahusiki, sasa kelele za Msigwa za nini hapa? Kwenye ili Msigwa asahau kuwa atatambulika miongoni mwa wabunge machachali kwenye medani za siasa hapa nchini.

Inabidi watanzania mshtuke nia ya huyu Msigwa kupeleka hotuba iliyojaa masimango, kashfa na uongo wa kupitiliza pale bungeni, nia kubwa ya Msigwa ni kumchafua Katibu Mkuu wa CCM taifa, wala hakuwa na maslahi mengine zaidi ya ili.

Ila kama ilivyo ada, njia ya muongo ni fupi, watanzania wazalendo na wafatiliaji wameujua ukweli, na malengo ya Msigwa hayajatimia katika juhudi zake za kumchafua Kinana.

Interpool ipi tena si umeeambiwa Vietnam hawataki wangetaka kutumia interpool wangetumia ila wanamlindam siku tembo wakiisha wote Kinana na kikwete wajue wananchi wanajua wao ndio waendesha mtandao wa ujangiri nchini
 
Watanzania wana akili nyepesi sana!

Binafsi naamini ni tatizo la upungufu wa mlo kamili ndio chanzo cha upeo mdogo wa watanzania wengi, mfano ni mleta mada.

Kwa akili ya kawaida kabisa, utagundua huyo mnafiki Msigwa kushadadia suala la Kinana kuwa ana husika na ujangili ni kutaka umaarufu wa bei rahisi.

Wenzake wakina Zitto na makamanda wengine walikuwa wakiibua masuala ya siri mno ya kulihujumu taifa yanayo fanywa na watendaji wasio waadilifu. Ndio maana mchango wa Zitto katika kukomboa raslimali za nchi hauwezi kubezwa na yeyote yule.

Hili suala la Kinana ni la tangu 2008 huko, na INTERPOL walichunguza wakabaini kuwa Kinana ahusiki, sasa kelele za Msigwa za nini hapa? Kwenye ili Msigwa asahau kuwa atatambulika miongoni mwa wabunge machachali kwenye medani za siasa hapa nchini.

Inabidi watanzania mshtuke nia ya huyu Msigwa kupeleka hotuba iliyojaa masimango, kashfa na uongo wa kupitiliza pale bungeni, nia kubwa ya Msigwa ni kumchafua Katibu Mkuu wa CCM taifa, wala hakuwa na maslahi mengine zaidi ya ili.

Ila kama ilivyo ada, njia ya muongo ni fupi, watanzania wazalendo na wafatiliaji wameujua ukweli, na malengo ya Msigwa hayajatimia katika juhudi zake za kumchafua Kinana.

...kwa maelezo haya inaonesha wewe ndo jangili/kinana...waonee huruma hao viumbe kwani nao wanahaki ya kuishi...
 
Sina uhakika sana natuhuma dhidi ya Mh. Ila kama kweli anahusika huyu ndg, ni aibu kwa chama,na kwa serikali ilio mdarakani.
 
Back
Top Bottom