Wanaume tupu mule mkuuAisee! kumbe kamekubuhu kwenye haya mambo!!
Kama nawaona vile manyapara wa ukonga wanavyoimezea mate tarehe 13novemba
Inaamaana magari na frank awako nchinimzee magari na frank walizamia marekani baada ya kuzidisha invitation,wameoverstay..huyu aliyekula jicho ni rafikiye dr cheni yupo ulaya katika nchi za scandinavia
Kale kademu ni kasenge mkuu , hakuna cha wivu wala nn. Eti juzi mahakamani kanasema Kanumba alikatishia na panga kukacharanga, bdo akaamua kukapiga na ubapa wa panga mapajani, aya swali nijibu mbn wakat wanamtoa Kanumba pale ndani Seth na Dr. wa Kanumba kwann hawakulikuta panga? Lulu ni mpumbavu , aelewe tu zama hizi zimebadilika.Hakuna la maana zaidi ya wivu...mwacheni mtoto wa watu
Well...kama makosa kila mtu ana yake ila sisi wabantu kwa tamaduni zetu kangepaswa hata kuona haya ila simply kanaishi maisha ya kwenye tv..adabu wala kujitambua hamna ndo kusema maisha ya kuvua kyupi ndo anayaweza.Kale kademu ni kasenge mkuu , hakuna cha wivu wala nn. Eti juzi mahakamani kanasema Kanumba alikatishia na panga kukacharanga, bdo akaamua kukapiga na ubapa wa panga mapajani, aya swali nijibu mbn wakat wanamtoa Kanumba pale ndani Seth na Dr. wa Kanumba kwann hawakulikuta panga? Lulu ni mpumbavu , aelewe tu zama hizi zimebadilika.
mkuu kuna msemo wa wahenga unasema hivi, "ukishazoea kula nyama za watu huez kuacha", kwa hyo haka kadu ni kapumbavu , alichokiandika mange kina logic sana huez kwenda saloon kusuka nywele za mtindo et unakuja mahakamani si show-off hizo mkuu?, mara sijui umekuja na gari gn kuuza nalo sura court, na kihalisia LULU haez kumiliki magari kamà yale anayokuja nayo Court, ( kamà sio gari za mabwana zake na kama sio ulimbukeni ni nn, yaan anakuja kuringishia watu sio), mara sijui upo court room unabonya bonya simu si dharau hizo, kihalisia huyo mtto anadharau haheshimu hata mahakama na bdo hana hata sympthy kwa mama Kanumba. Yaan wanaomshàbikia uyu mtto inabd tukawapime uelewa waoWell...kama makosa kila mtu ana yake ila sisi wabantu kwa tamaduni zetu kangepaswa hata kuona haya ila simply kanaishi maisha ya kwenye tv..adabu wala kujitambua hamna ndo kusema maisha ya kuvua kyupi ndo anayaweza.
Hata hiyo bongo muvi ni cover tu kanatumia kupata jukwaa la "kuuzia"!
hii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hii
Hapa hachomoki lazima cv ibadilike !! Aitwe mfungwa. Mvua isiyopungua kumi. Akitoka hata wa kumzalisha hatamwona labda aende kwenye pombe za comon na chibuku.
Jamani hivi jicho tamu eeeeeh? ?mzee magari na frank walizamia marekani baada ya kuzidisha invitation,wameoverstay..huyu aliyekula jicho ni rafikiye dr cheni yupo ulaya katika nchi za scandinavia
Mwacheni akafungwe mtanyooka tu wenye tabia za chooniHakuna la maana zaidi ya wivu...mwacheni mtoto wa watu