Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Hata Trump ilizungumzwa hivi hivi. Even Obama alasema Trump will never be POTUS. Lets wait and see!
 

Kimekusibu nini hadi kutuandikia mambo haya? Ingefaa sana kama ungetoa elimu ya uraia kuhusu sifa za mtu anayefaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzingatia masharti ya Katiba na sheria zilizotungwa na Bunge letu tukufu.

Hata hivyo, uliyotuandikia ni sehemu ya haki yako ya kikatiba ya kujieleza kama ilivyo kwa watu wengine katika nchi yetu pendwa, Tanzania.
 
Kama Magufuli ameweza Lissu atashindwaje?
 
Una afya njema ya akili kweli?
 
credibility inahusu!!
vp lisu amefiti?
 
Sisi Watanzania wazalendo ndyo tutakaomchagua Lissu tena kwa kura nyingi sana zitakazompa ushindi,huo ujinga wako peleka Lumumba wanakokupa buku saba!
Sema nyinyi watanzania wajinga ndo mtamchagua Lissu. lakini kuhusu uzalendo, Lissu siku nyingi alishaonyesha siyo mzalendo kwahiyo hapaswi kuungwa mkono na wazalendo.
 
Wewe ni nani na macho yako ya kiwanga wanga ewe mchawi ulietukuka? Mbona una hasira kama una mimba changa?
 
Tusiwadharau watu wengine na kuwasifia wengine hata kama uwezo wao ni mdogo kuliko tunaowadharau!
 
Huyu was sasa aliandaliwa? Alichunguzwa? kabila lake ? Si alisema alisukumizwa.
 
Unaongea haya kwakuwa una maslahi binafsi na madaraka ya Magufuli, na ccm kwa ujumla. Hivyo unajua iwapo itaondoka madarakani utarudia umasikini uliotoka nao kijijini. Ww ni mwanaume mtu mzima, jifunze kujitegemea badala ya kutegemea wanaume wenzio.
Mngemfundisha lissu kujitegemea mwenyewe asingekwenda kulialia kwa wanaume wakizungu huko nje ambako amakubaliana hadi na ushoga..
 
Huyu was sasa aliandaliwa? Alichunguzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…