Wayaring
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 304
- 248
"Hakita TOTEA saa2 ASBUHI" ndiyo watu wake, akili kisoda, hata lugha yao ya taifa hawaijui.by the way kwa utafiti ulofanywa unaonesha upinzani wa safari umekua zaifu sababu
1.hawana cha kusimamia
2.ushiriki wao na watu toka nje ya nchi
3.swala la corona
4.wabunge wao kususasusa bunge
5.magu kuwambia wananchi ukweli kua wana/watajichelewesha kwa kuchagua upinzani
6.wapinzani kuchochea vurugu.
☆so nahitimisha kwa kufuta yale nloandika post#1 ya uzi huu maana kile nilichokiwaza hakita totea na badala yake ushindi kwa ccm ni sa2 asbuhi na mapema
kazi kwenu