Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe mwenzetu upo huru hongera Sana. Ndio mpambane sasa muendelee Kula matunda ya Uhuru.siwezi mpa chizi(mate kujaa pembeni ya mdomo wakat wa kuongea ni dalili ya uchizi)
siwezi mpa kura mtu asie jua maana ya uhuru tulopata
Wakuu nawasalimu,
Naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani. Vyovyote itavyokua hatuwezi kuongozwa na Rais mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.
Rais huandaliwa na kuchunguzwa uadilifu wake kwa nchi yake, nikimuangalia Lissu sioni akiwa na sifa hiyo hata robo
bora Membe, Maalim hata Mbowe. Hawa wana uadilifu kwa nchi yao kuliko Lissu
Kama nilivyosema huu ni ukweli mchungu kwa wafuasi wake ila ni bora mkajua mapema kabisa!!
Pia naomba mjifunze historia ya nchi hii nzuri, mjifunze misingi ya uendeshaji wa nchi hii nzuri pia mjifunze sera mbalimbali zinazotumika kitaifa na kimataifa za nchi hii nzuri.
Kwan mkuu.... ni uhuru gani unauzungumzia hapa?Kama wewe mwenzetu upo huru hongera Sana. Ndio mpambane sasa muendelee Kula matunda ya Uhuru.
Ila msiwasumbue kuwaambia wasio Huru wampe Kura mgombea wenu mana wana machungu ya kupoteza Uhuru na Haki.
Ahsante Kwa Kuuliza. TL ameelezea na kufundisha kwa kina Sana kwenye mikutano yake. Nadhan ulikuwa huifwatilii pengine kutokana na ushabiki. Ila busara inaelekeza usikilize Sera zote ili ufanye informed decisions.Kwan mkuu.... ni uhuru gani unauzungumzia hapa?
Kwan mkuu.... ni uhuru gani unauzungumzia hapa?
Kwa maslahi hayohayo ya taifa, Lissu hawezi kuwa rais hata kwa siku1
Ndio CCM ilishindwa kumnunua ila mabeberu waliweza tena kwa kujipeleka mwenyewe sokoni..
Ni vile tuu taasisi ya urais imeshuka heshma miongoni mwetu lakini trust me haijashuka heshma kwe mfumo hata chembe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ndugu mbona unalalamikia hewa?Ahsante Kwa Kuuliza. TL ameelezea na kufundisha kwa kina Sana kwenye mikutano yake. Nadhan ulikuwa huifwatilii pengine kutokana na ushabiki. Ila busara inaelekeza usikilize Sera zote ili ufanye informed decisions.
Anyway, umepoteza fursa adhimu ya kujifunza. Moja ya Uhuru ulioongelewa ni Uhuru wa kuamua Mazao yako Umuuzie nani. Alitolea mfano namba wakulima wa korosho walivyolazimisha kutoa korosho Yao Kwa wanajeshi.
Uhuru mwingine ni wa kuchagua Kiongozi unaye mtaka. Hapa alitolea mfano Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo viongozi wababaishaji wakiingia bila ridhaa ya Wananchi. Enguaengua ya NEC, Maagizo ya Rais Kwa Wasimamiz wa Uchaguzi kwamba Watangaze wa CCM hata wasiposhinda, na sasa ni hii mikakati ovu ya Kutaka kulazimisha wagombea waliopoteza kibali cha wananchi kuingia tena madarakani.
Nchi zenye Uhuru wa Kweli huwezi ona upuuzi kama huu unatokea. Kimsingi tupo chini ya Utawala wa wakoloni/makaburu wazawa.
[emoji23][emoji23][emoji23]endelea kuota au nikushauri hama nchi maana usiempenda kaja au meza viwembe ili usimuone kabisaHatuko tayari tena kuongozwa na chama cha karne iliyopita. Uwezo wa ccm kutawala nchi hii kama chama chenye nguvu enzi hizo zilishapita. Kutawaliwa kama makondoo sasa imetosha. Tutafurahishana ili tuheshimiane.
Ukweli mchunguWakuu nawasalimu,
Naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani. Vyovyote itavyokua hatuwezi kuongozwa na Rais mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.
Rais huandaliwa na kuchunguzwa uadilifu wake kwa nchi yake, nikimuangalia Lissu sioni akiwa na sifa hiyo hata robo
bora Membe, Maalim hata Mbowe. Hawa wana uadilifu kwa nchi yao kuliko Lissu
Kama nilivyosema huu ni ukweli mchungu kwa wafuasi wake ila ni bora mkajua mapema kabisa!!
Pia naomba mjifunze historia ya nchi hii nzuri, mjifunze misingi ya uendeshaji wa nchi hii nzuri pia mjifunze sera mbalimbali zinazotumika kitaifa na kimataifa za nchi hii nzuri.
Hilo la kupigwa halina mjadala maana ndio mabadiliko yalipo. Hata mwanauke huzaa kwa uchungu. Hakuna mabadiliko yasiyo ya kuvuja jasho.[emoji23][emoji23][emoji23]endelea kuota au nikushauri hama nchi maana usiempenda kaja au meza viwembe ili usimuone kabisa
au kama unàhasira sana meza boga
serious hauwezi kufanya chochote na ukaachwa iviivi
Utacheka kichina safari hii.hakuna ataeandamana so obviously hakuna atae pigwa