Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
No research no right to speak. Usiipake serikali matope wakati huna facts.Uthibitisho watapewa CCM wenye Akili wewe mvuta Bangi endelea kusumbua watu mitandaoni
Kama wabunge wangekuwa wanapigwa risasi hovyo mabarabarani hali ya kisiasa ingekuwa hivi?
Au we unataka wavunje sheria kama Lema alivyosema uongo wanaChadema wananyongwa Manyoni, we ulitaka asikamatwe.
Sababu tu unafikiri upuuzi kama Iddi Amini.