Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Raisi wa taifa huandaliwa na nani? Systeme ipi haiwezi kumkubali? Kama hayo ulosema yapo kwa nini msiwaandae mapema na systeme imkubali mapema kuliko kuwaacha watu wakapoteza gharama zao mwisho wa siku akishinda hamumpi madaraka?
tulia afu utulie nisome kwa makini then urudi tena
 
Roho yangu inagoma kumuona Lissu kama mtu anayefaa kuwa rais. Si kila mpizani mkuu anastahili awe rais, hata kule UK Jeremy Corbin pamoja na kusababisha Brexit itokee hakuchaguliwa ili aifanikishe badala yake akachaguliwa BJ. Si kila mtu ana uwezo wa kuongoza mamlaka kuu ya nchi, wengine wabaki wakiwa radicals.
 
Uraisii mtu lazima afanyiwe vetting ya nguvu awe CCM au Upinzani .Sababu kugombea Ni kutaka vyombo vya dola viwe chini yake .Haviwezi kukubali kuwa chini ya mtu ambaye vetting ripoti yake mbaya .Vitaiba au kukimbia hata na masanduku ya kura au kumtangaza wanayemuona anafaa hata Kama hakushinda

Lisu vetting report yake ya vyombo vya dola bila Shaka hahitaji kuambiwa anaijua vizuri
Mkuu ingependeza kama ungeweka taarifa za wagombea urais jamvini nasi wananchi tukawafahamu ili tuweze kufanya maamuzi sahihi tusipoteze muda bure kupanga foleni kupigia kura wasiostahili. Najiuliza tu kama vetting ya kihivo inafanyika kwa nini tunaletewa kuwapigia kura wasio kuwa na sifa zinazotakiwa. Hawaoni kama tunatumia vibaya rasilmali za taifa letu?
 
upinzani wakiweza kuweka mtu sahihi watatoa upinzani kwa chama tawala
lakini kwa style hii ya kuangalia umaarufu wa mtu NO ndo maana nasema sio kila mtu anaweza kua raisi wa JMT
wakiweka mtu safi mwenye historia safi wataweza siku1
 
Jaribu kuwachagulia mtu safi mwenye historia safi ili umpe urais
 
Ngoja ni kuambie kitu wewe machina shiu hang
Mfumo wa chama Cha chadema hauruhusu raisi kuwa na nguvu kubwa Kama ilivyo ccm Sasa, raisi ni muhili mmoja tu wa serekali, Magufuli anaamka asubuhi anabuni mradi wa trillion sita, bila hata kushirikisha bunge,

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mimesoma sana sjiona mtu alisema imeshushwa na flani ww mtaje unaogopa nini?tuelimishe
hujaona jinsi watu wanavyomahambulia magu humu?
unaitaji miwani nkuchangie?
 
Ngoja ni kuambie kitu wewe machina shiu hang
Mfumo wa chama Cha chadema hauruhusu raisi kuwa na nguvu kubwa Kama ilivyo ccm Sasa, raisi ni muhili mmoja tu wa serekali, Magufuli anaamka asubuhi anabuni mradi wa trillion sita, bila hata kushirikisha bunge,

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
tehteehh jifunze kwanza lugha😁😁
jifunze kutofautisha chama na serikali
 
Wakuu nawasalimu,
Naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tuu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani... vyovyote itavyokua. Hatuwezi kuongozwa na Rais mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.

Rais huandaliwa na kuchunguzwa uadilifu wake kwa nchi yake, nikimuangalia Lissu sioni akiwa na sifa hiyo hata robo
bora Membe, Maalim hata Mbowe. Hawa wana uadilifu kwa nchi yao kuliko Lissu

Kama nilivyosema huu ni ukweli mchungu kwa wafuasi wake ila ni bora mkajua mapema kabisa!!

Pia naomba mjifunze historia ya nchi hii nzuri, mjifunze misingi ya uendeshaji wa nchi hii nzuri pia mjifunze sera mbalimbali zinazotumika kitaifa na kimataifa za nchi hii nzuri.
No one qualifies to rule another
 
Kwa maslahi hayohayo ya taifa, Lissu hawezi kuwa rais hata kwa siku1
Ndio CCM ilishindwa kumnunua ila mabeberu waliweza tena kwa kujipeleka mwenyewe sokoni..
Ni vile tuu taasisi ya urais imeshuka heshma miongoni mwetu lakini trust me haijashuka heshma kwe mfumo hata chembe.
Hovyoooooo! Kumbe hoja ni ile ya " mabeberu na majike" Tanzania yoyote aweza kuwa rais. Hakuna vya system, "Tanzania rais ndo system yenyewe"
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Subiri facts Lisu anazo ndio maana anahaha mitandaoni wenzie hawako mitandaoni wako na wajumbe wafanya maamuzi ndani ya chadema yeye Yuko ulaya zake anajinadi mitandaoni kwetu sisi ambao sio chadema na hatuna maamuzi ndani ya Chadema kumteua mgombea!!!

Watia Nia wenzie wako silent wanajua agenda ya Sasa Ni kuteuliwa ndani ya Chadema .Lisu anahangaika kuteuliwa mitandaoni Kama mgombea Uraisi wa muungano .Uteuzi wa mgombea Chadema haufanywi mitandaoni Ni kwenye chama!!!

Wapambe wa Lisu akili hawana.Ona wagombea watia Nia wengine wanajua mitaondaoni sio Sasa kwa Sasa ni kutafuta uteuzi tu ndani ya Chadema kwa hiyo efforts zote wameelekeza huko moja kwa moja sio humu

Kuruka ruka ohh nafaa uraisi wa muungano wakati kiunzi tu Cha uteuzi ndani ya Chama hujakiruka Ni wehu anajua facts zake zote kuwa hatataeuliwa anatafuta sympathy za mitandaoni !!!
Tundu lisu hajihangaishi mitandaoni bali wapenda amani upendo usawa ndiyo wanakomaa mitandaoni kuongelea vingi muhimu vya msingi juu ya Tundu Lisu, wewe una chuki binafsi dhidi ya Lisu umeamua kutengeneza hiki kisingizio cha ajabu ukizani watu ni wajinga watakiamini kiwepesi ni mjinga pekee anaweza kukaa kuamini maneno yako, Tambua watanzania siyo wajinga hata magufuli alishakiri watanzania wanajua vingi kuliko nyinyi watengeneza propaganda za CCM
 
Back
Top Bottom