minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Chadema kungekuwa na ukabila nyinyi CCM msingekuwa kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi mngeacha wananchi waamue wenyeweukabila na udicteta mnauona ufipa pekeyenu tuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema kungekuwa na ukabila nyinyi CCM msingekuwa kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi mngeacha wananchi waamue wenyeweukabila na udicteta mnauona ufipa pekeyenu tuu?
😁😁😁😁😁😁Ukweli mchungu kwako binafsi na waliokutuma usifikiri kwa niaba ya System kwani system hugeuka pindi upepo ukigeuka hapo hapo si uliona Sudan system ilimgeuka Elbashiri sasa yupo jela, chaguo la wana CCM mwaka 2015 halikuwa Magufuli ilikuwa ni wengine lakini kwa mizengwe ya kikwete kumkata Lowasa kutaka kumpenyeza Membe ndipo wajumbe wa CCM wakapiga kura za hasira kumpa magufuli ambaye kaivunja katiba na Sheria kupiga marufuku mikutano ya siasa kwa hofu ya hao hao akina Tundu lisu anaowaita wanaongea umbeaumbea, sasa umbea ndiyo ulikufanya kumpiga risasi? Mbona wambea CCM akina cyprian Musiba, le mutuz, kibajaji Msukuma, lijuakali na wenzao wapo wengi hamuwapigi risasi?
Moyo upo acha kuwabambikia kesi acha kumpiga risasi acha kuitumia mahakamaccm vibaya uone moto wa Tundu lisu ndipo utajua kuwa alichokukaririaha cyprian Musiba kilikuwa cha kijingajipe moyo
Point yako ni nini?Mbona hiyo system imemkubali mtu mwovu na katili asie na uwezo wa kuhutubia hata mkutano wa kijiji kwa kiswahi akaeleweka?
System hiyo ingekuwa makini kama usemavyo huyu nduli tusingekewa nae
Naona unatafauta kurushiwa kokoto wewe ; umechoka kuishi kwa amani.Wakuu nawasalimu,
naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa raisi wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tuu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani... vyovyote itavyokua.
hatuwezi kuongozwa na Raisi mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.
Raisi huandaliwa na kuchunguzwa uadilifu wake kwa nchi yake, nikimuangalia Lissu sioni akiwa na sifa hiyo hata robo
bora Membe, Maalim hata Mbowe. Hawa wana uadilifu kwa nchi yao kuliko Lissu
Kama nilivyosema huu ni ukweli mchungu kwa wafuasi wake ila ni bora mkajua mapema kabisa!!
Pia naomba mjifunze historia ya nchi hii nzuri, mjifunze misingi ya uendeshaji wa nchi hii nzuri pia mjifunze sera mbalimbali zinazotumika kitaifa na kimataifa za nchi hii nzuri.
subiri Kalagha bahoKalagha baho .Asingefanyiwa asingeweza katiza moto wa Lowasa.Hufanyia vetting watu kibao kwa post hiyo ukizengua hata dakika ya mwisho unapigwa teke wanawekwa wengine.Kama ambavyo Lisu anaenda kupigwa mateke ndani ya Chadema na mifurushi ya mifomu yake yenye sahihi za wadhamini lundo!!
Teke kuu ni ndani ya Chadema zinga la teke tena la uhakika
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote ndiyo kujishushia heshima, pesa za viwanda zinatumika kudhoofisha chadema badala ya maendeleo.Hiyo taasisi ya urais kaishusha heshima nani? Magu!
Heshima hushuka pindi udikiteta uchwara ukishika kasi, mfano kuzuia mikutano ya siasa ni uoga na uonevu heshima inashuka, kuwapiga risasi inashusha heshima zaidi.nyie hapo
Zipo wapi trilion 1.5 mlizokwapua hadi kumtoa CAG kafara? Zipo wapi bilion 12 za Ndungai?Lisu akuna wakuweza kumzuia kugombea isipokua chama chake.
nani aljua ccm ingempitisha JPM na sio lowasa au membe?
tuelewane pale linapokuja swala la kiinchi lazima watu wenyeakili na walopewa mandates kusimama Ustawi wa nchi wafanye uhakiki hii aijalishi mgombea anatoka wapi.
asante kwa mchango wako!!Heshima hushuka pindi udikiteta uchwara ukishika kasi, mfano kuzuia mikutano ya siasa ni uoga na uonevu heshima inashuka, kuwapiga risasi inashusha heshima zaidi.
Sema umechoka wewe siyo tumechoka!! Acha kutusemea wewe bwana mdogo!Ni hivi, Magufuli hawezi ushindani wa kisiasa na hatakaa aweze. Hizi nyimbo zenu ni baada ya kujua Magufuli hataweza kushindana na Lissu kwa hoja, hivyo mnaanza kutengeneza mazingira ya Lisu kutokugombea. Kama nchi hii ingekuwa na hizo sifa za uhakiki, basi JK au Magufuli mwenyewe wasingekuwa marais wa nchi hii.
Tunasema hivi, tunataka tume huru ya uchaguzi kwa amani, ili mshindi halali ndio atangazwe, tumechoka kuongozwa kwa shuruti na ccm.
CCM hakuna malaika hakuna mwema CCM zipo wapi zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa?Kwa maslahi hayohayo ya taifa, Lissu hawezi kuwa rais hata kwa siku1
Ndio CCM ilishindwa kumnunua ila mabeberu waliweza tena kwa kujipeleka mwenyewe sokoni..
Ni vile tuu taasisi ya urais imeshuka heshma miongoni mwetu lakini trust me haijashuka heshma kwe mfumo hata chembe.
Kwa hiyo ripoti ya makinikia wewe umeona ilikuwa sawa? Pole sanaNiwe mkweli tu.
Tangu Lissu alipoanza kumtukana Raisi, kutukana waalimu wake na watu wengine wanaomzidi umri, kielimu na mengineyo nilimkataa sana kuanzia hapo.
Nilimsikia na kumsoma katika taarifa yake flani kwa umma anawavuta na kuwahusisha IGP na DG wa TISS kwenye siasa zake na kuwaamrisha katika kauli zake nikaona huyu hatima ya siasa zake za kulewa sifa atakuja kuharibu maisha yake mazuri ya kisiasa na kazi zake za kisheria siku moja.
Ujasiri wa kuwatukana wale wataalam waliohusika kwenye taarifa ya uchunguzi wa makinikia aliutoa wapi?
Kwamba yeye ni msomi na mahiri sana kuliko wale wote kwenye elimu ya madini, miamba, uchumi, sheria, uhasibu, hisabati na mifumo ya computer?
Lakini mwisho ukweli hujitenga na uongo, hatimae kifo cha Acacia, kuzaliwa kwa Twiga, kulipwa kwa zile fedha za Goodwill, kutoshitakiwa na kufilisiwa serikali huko MIGA alikosema vimekuja kuwa ushahidi yeye hakuwa sahihi na wale wataalamu aliowatusi walikuwa sahihi.
Lissu akiwa raisi wa JMTZ nchi hii itakuwa imepata pigo kubwa sana.
Kwanza Lissu yeye mwenyewe ni dikteta mkubwa sana kwa jinsi alivyo shiriki mchakato wa kuwafukuza akina Zitto na mchakato wa kumkaribisha Lowassa CDM kisha kumpa nafasi ya kugombea uraisi kupitia CDM.
Lissu alishiriki au alinyamazia siasa chafu za kumchafua mzee wetu Dk. Slaa mwaka 2015.
Lissu siyo mzalendo ni mjivuni , mnafiki na kigeugeu. Lissu siku zote yupo kwa ajili ya self ego feeding.
Ni afadhari nimpe kura yangu Membe au Mbowe au Msigwa kuliko Lissu.
ukabila na udicteta mnauona ufipa pekeyenu tuu?
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua mada ya Akili wakati Akili huna?asante kwa mchango wako!!
tafadhali tafta mada inayolingana na akili yako
Wewe ni mnufaika wa 10% miradi yote lazima tukuulizeunaniuliza mimi au ccm?