xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
- Thread starter
- #101
to be honest sioni ukabila tanzania hata udicteta piaWw kama ww utauonaje wakati unakupa maisha? Kwa taarifa yako hata Iddy Amin pamoja na mauaji yote aliyoyafanya, alikuwa na wapambe kama ww ambao waliona kuwa alikuwa sawa, na walikuwa wanasema kabisa kuwa ananyoosha nchi.
lakini ni sawa maana hatuwezi kufikiri the same ausio broh