Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Uthibitisho watapewa CCM wenye Akili wewe mvuta Bangi endelea kusumbua watu mitandaoni
No research no right to speak. Usiipake serikali matope wakati huna facts.
Kama wabunge wangekuwa wanapigwa risasi hovyo mabarabarani hali ya kisiasa ingekuwa hivi?
Au we unataka wavunje sheria kama Lema alivyosema uongo wanaChadema wananyongwa Manyoni, we ulitaka asikamatwe.
Sababu tu unafikiri upuuzi kama Iddi Amini.
 
Lisu na Ushindi wa urais 2020 ni sawa tu na zile hesabu za kilimo cha matikiti ya pdf mitandaoni.

"Anza na mitetea 20 na majogoo 5,watataga mayai 15 kila mmoja na kutotoa tuseme 10 each.(20*10)+25=225.

Tu-assume kati ya wale vifaranga 200,150 ni majike baada ya miezi 6 yataanza kutaga......Kunde,choroko,maharage)


Hivi nyie wengine hamjaziona hata figisu za by elections na local governments hadi muote hizo ndoto za Alinacha?

That was just a rehearsal, performance yenyewe ndo hiyo mnayoota kutoboa.
 
Matusi gani hayo? Manake sikuhizi hata uzalendo umebadikishwa maana Yake. Lakini pia huwa tunasikia matusi ya viongozi kwa wanao waongoza,au hayo huwa huyasikii?
Well, huu ni mjadala mkubwa sana.
Labda siku nyingine na mahali pengine tutajadili tukijaaliwa uzima.
 
Mawazo ya watanzania utazani kichwani kuna majaluba ya mpunga
 
[emoji16][emoji16] hata akitaka kua raisi wa tff au wa bank flan anaweza ila sio raisi wa JMT na hatakua, teyari anadoa litalomzuia kua raisi wa JMT
Nakuunga mkono chief!
Wengi hawaelewi kwanini nchi kama Marekani mtu anashinda kwa mamilioni ya kura lakini vichwa vya watu wasiozidi 300 wanakuja kupindua meza.

Sema wenzetu hao watu wapo kikatiba ili kuwahadaa raia ila sisi huku hao watu wapo nyuma ya kioo

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Ha, ha, ha, eti nawe gamba unathubutu kusema Lissu hapitishwi.
MaCCM mpende msipende Lissu ndo anaenda kumpiga chini huyo dikteta wenu uchwara.
Sema mgombea wako sio wenu.Kifupi jiandae tu kisaikolojia Lisu ndani ya chadema hapitishwi.Mark my words
 
Tokea lini wewe Minyoo ukawa na akili? Kichwa kimejaa minyoo kama Idd Amin.
Nipo tumboni mwako kila kona nimekutia njaa wewe changudoa mpaka sasa unagawa mwili wako kusaka uteuzi, changudoa gani huna hata mwelekeo kwa kuwa umeamua twende na ufala wako nitakunyoosha mpaka upate mimba yenye HIV , eti CCM wanakutegemea uwatetee mitandaoni? CCM wamekosa watu mbaka wakaamua kukutumia wewe mbweha?
 
Wewe ni nani hadi UHITIMISHE kwamba Lissu hawezi kuwa Rais? Huo utafiti wako uliufanyia wapi na sample yako ilikuwa na ukubwa gani? Acha kuja na dhana potofu bila ya kuwa na CONCRETE EVIDENCE ya UPUUZI wako.
haina maana kujificha kwa style ya mbuni

Jipe moyo kwenye hamna
 
Wakuu nawasalimu,
Naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tuu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani... vyovyote itavyokua. Hatuwezi kuongozwa na Rais mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.

Rais huandaliwa na kuchunguzwa uadilifu wake kwa nchi yake, nikimuangalia Lissu sioni akiwa na sifa hiyo hata robo
bora Membe, Maalim hata Mbowe. Hawa wana uadilifu kwa nchi yao kuliko Lissu

Kama nilivyosema huu ni ukweli mchungu kwa wafuasi wake ila ni bora mkajua mapema kabisa!!

Pia naomba mjifunze historia ya nchi hii nzuri, mjifunze misingi ya uendeshaji wa nchi hii nzuri pia mjifunze sera mbalimbali zinazotumika kitaifa na kimataifa za nchi hii nzuri.
Hivi siwezi kulike mara2
 
Toa ujinga wako kutuletea upuuzi humu halafu ukiulizwa maswali unaruka ruka huku na kule kama kicheche.

haina maana kujificha kwa style ya mbuni

Jipe moyo kwenye hamna
 
Toa ujinga wako kutuletea upuuzi humu halafu ukiulizwa maswali unaruka ruka huku na kule kama kicheche.
kama nilivyo sema huu ni ukweli mchungu ila hamna budi kuuzoea

siku mkituletea mtu mwadilifu kwa taifa lake mnaweza kutoa upinzani kwa chama tawala lakini mkiendelea hivi mtaishia kulalama tuu
 
Ukweli mchungu kwa MAZWAZWA. Unakuja na Hadithi za abunuwas humu huna kigezo hata kimoja cha hitimisho lako zaidi ya bla bla bla zisizo na kichwa wala miguu. Ujinga wako mwisho Lumumba.

kama nilivyo sema huu ni ukweli mchungu ila hamna budi kuuzoea

siku mkituletea mtu mwadilifu kwa taifa lake mnaweza kutoa upinzani kwa chama tawala lakini mkiendelea hivi mtaishia kulalama tuu
 
Uraisi mtu lazima afanyiwe vetting ya nguvu awe CCM au Upinzani .Sababu kugombea Ni kutaka vyombo vya dola viwe chini yake .Haviwezi kukubali kuwa chini ya mtu ambaye vetting ripoti yake mbaya .Vitaiba au kukimbia hata na masanduku ya kura au kumtangaza wanayemuona anafaa hata Kama hakushinda

Lisu vetting report yake ya vyombo vya dola bila Shaka hahitaji kuambiwa anaijua vizuri
Hivi ni vetting ipi ilifanyikanacdm 2015, ni vetting ipi itafanyika na act 2020. Ccm tu ndo wana utaratibu unaoeleweka
 
Ukweli mchungu kwa MAZWAZWA. Unakuja na Hadithi za abunuwas humu huna kigezo hata kimoja cha hitimisho lako zaidi ya bla bla bla zisizo na kichwa wala miguu. Ujinga wako mwisho Lumumba.
asante
 
Huyu pimbi toka atutishe na mambo ya MIGA baadae kutuchoma kwa yule mwamba alieikamata ndege yetu nilimdharau sana na ikitokea amekuwa rais mi mapema sana nabeba kila kilicho changu nakuwa mkimbizi nchi jirani
 
Back
Top Bottom