Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Wew ivi unamjua shetani alivyo muongo?....akiamua kukutungia story utasema kweli,,,,never Quote Satan....shetani ni baba wa uongo usimsikilize hata kidogo...
Hayo yalikuwa maneno ya wakosaji amdanganye mtu ili apate nini. Wamempaka kila uchafu lakini wameshindwa ukisusa wenzio watakula ndo kilichowakuta. Wote wanamnyooshea kidole ndo mafukara wa akili na mali namba moja duniani
 
Ebu fikiria
Mwanza 1:1 HAPO MWANZO MUNGU ALIZIUMBA MBINGU NA NCHI.......Sasa shetani alikuwa wapi mda huo , halafu leo hii anasema ampe YESU Dunia na mali zake......hahahahah tapeli huyo....nikama unavyokuwa unamtongoza demu unaweza mwambia hii gari yangu kumbe umeazima😩
 
Ni wakati gani Mungu alimuumba shetani? Na kituo chake cha kazi kilikuwa ni wapi?.
 
Ni wakati gani Mungu alimuumba shetani? Na kituo chake cha kazi kilikuwa ni wapi?.
12 Mwanadamu, umfanyie maombolezo mfalme wa Tiro, umwambie, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe wakitia muhuri kipimo, umejaa hekima, na ukamilifu wa uzuri.
Ezekieli 28:12

13 Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu; kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko chako, akiki, na yakuti manjano, na almasi, na zabarajadi, na shohamu, na yaspi, na yakuti samawi, na zumaridi, na baharamani, na dhahabu; kazi ya matari yako na filimbi zako ilikuwa ndani yako; katika siku ya kuumbwa kwako zilitengenezwa tayari.
Ezekieli 28:13

14 Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na huko kati ya mawe ya moto.
Ezekieli 28:14

15 Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana ndani yako.
Ezekieli 28:15
 
Nadhani umeshanielewa nilipouliza juu ya uhusiano wa Mungu na Shetani na uwezo alionao Shetani hasa juu ya maagano na maandiko. Mbali na kiburi chake Shetani bado ni mkamilifu. Yale aliyomwambia Yesu sko stori za kutunga alikuwa na uhakia na uwezo wa Yesu na Yesu aliujua uwezo wa Shetani, sio wakuchukulia poa.

Ogopa Shetani ni Mkamilifu alafu mwanadamu anayepambana na shetani yeye sio mkamilifu, huo ni maajabu bibadamu kumshibda shetani kiumbe mkamilifu?.
 
Alishawezwa na Yesu Jehova, 2000yrs ago alipopondwa kichwa na kunyang'anywa mamlaka.
 
Kumbe
 
We yote hayo anakwambia nani
 
Sasa kama ana nguvu; nguvu yote hii ya kumtetea asipingwe inatokana na nini?
Kwa Jina la Yseu naamuru Moto sasa na hata milele kwa shetani na malaikaz zake wote popote walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…