Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
mtuache kama kaka wa shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakala wa Shetani katika ubora wake...Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.
Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani
Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.
Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.
Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.
Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.
Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.
Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.
Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.
Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.
Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.
Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu
Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga
View attachment 3036495
Shetani na mungu ni marafiki huwa wanakutana mara kibao wanapiga story, mda mwingine huwa wanabet kabisa wanaweza kumchukua binadamu mmoja wakampa mateso ya kutosha ili waangalie nani mkeka wake utatikiShida ya Wanadamu wengi wajinga Wana mchukulia Shetani kawaida mnoo lakini Hakuna mwanadamu yoyote Yule Enzi na Enzi,,manabii Kwa manabii,,mitume Kwa mitume aliyeweza pambana na Shetani akatoka salama au kumshinda haitakuja tokea kamwe,,Jamaa anapawa mnoo hakuna binadamu wa kumshinda Iwe Kwa Kiroho,,Kimwili na Kwa Nafsi pia
Kuna kitu hakipo sawa kwenye haya mafundisho na ukijaribu kuhoji unatishiwa ziwa la moto ndo maana nasema tukiondoa moto wafia dini wengi wanaleft sababu wapo pale kiunafiki, uhalisia ni kuwa wanapenda maisha ya raha na starehe za hii dunia ila tatizo ni moto. Walokole wanapenda Mwanamke mzuri, minyama nyama, kinywaji n.kMpaka hapo tu ushampiga hat trick uyo kondoo wa bwana hapo juu.
Kwa kifupi tu huyo mungu mwenyewe alimshindwa shetani huko mbinguni akamtupa duniani, na duniani pia kamshindwa ndo maana aliwapa adhabu adam na Eva ila alishindwa kumpa adhabu shetani
Kazi kwel kwel 😂Kuna wale wanamkanyaga shetani
✊✊✊Shetani na mungu ni marafiki huwa wanakutana mara kibao wanapiga story, mda mwingine huwa wanabet kabisa wanaweza kumchukua binadamu mmoja wakampa mateso ya kutosha ili waangalie nani mkeka wake utatiki
Baba yake anampenda sana kilichomfanya amwelewe ni umaridadi wake wa kuzichapa mwisho akaona kweli nina kidumeMpaka hapo tu ushampiga hat trick uyo kondoo wa bwana hapo juu.
Kwa kifupi tu huyo mungu mwenyewe alimshindwa shetani huko mbinguni akamtupa duniani, na duniani pia kamshindwa ndo maana aliwapa adhabu adam na Eva ila alishindwa kumpa adhabu shetani
Nakupa za ndani hakuna sehemu niliyomchonganisha baba yake nimesema baba yake anajivunia kuwa na kidume ndo mana anampenda na usijidanganye kuwa kuna siku baba yake atamfanyia baya hilo sahauWatu wengi wanajitungua tu nani aliyemuona huyo shetani?
nani aliyempa jina la sheitani?
anafanya mambo machafu kwa sababu gani kwa nini ashindane na binadamu wakat yeye wa milele?
eti mungu kamshindwa shetan yaan mungu hatengeneze kitu kilicho juu ya uwezo wake?
hivi wewe mleta mada una akili kweli au ndo wakala wake na sheitan?
ndo unavyojidanganyaNakupa za ndani hakuna sehemu niliyomchonganisha baba yake nimesema baba yake anajivunia kuwa na kidume ndo mana anampenda na usijidanganye kuwa kuna siku baba yake atamfanyia baya hilo sahau
Shetani ni roho ila wewe ni roho iliyofichwa ndani ya mwili wenye damu na nyama... Dunia asili yake imeundwa kuufavour ulimwengu wa damu na nyama kuliko ulimwengu wa kiroho, na kitu kibaya pindi tu unapozaliwa mambo yote unayoanza kuyazoea ni yale ya kuufurahisha na kuuburudisha mwili ili kukufanya uweze kuwa comfortable na huu ulimwengu, kwa hiyo kutokana na hilo watu wengi wanaishi pasipokujua kwa nini wapo hapa duniani kwasababu mambo ya ulimwengu yanatupambaza hadi tunashindwa kukonekti mwili na ule ulimwengu wa kiroho ili tuweze kuwa bora zaidi ya huyo Shetani.Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.
Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani
Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.
Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.
Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.
Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.
Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.
Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.
Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.
Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.
Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.
Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu
Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga
View attachment 3036495
Nimekuelewa vuzuri sana kiongozi, wapo watu wanaojindanganya watamuangusha Shetani ndiyo maana nikawambia wasipoteze muda wao hakuna watakachoweza na kama wapo tayari kupoteza muda waingie kwenye 18 zake mwisho watamuona mshindi ni nani kati yao na yeyeShetani ni roho ila wewe ni roho iliyofichwa ndani ya mwili wenye damu na nyama... Dunia asili yake imeundwa kuufavour ulimwengu wa damu na nyama kuliko ulimwengu wa kiroho, na kitu kibaya pindi tu unapozaliwa mambo yote unayoanza kuyazoea ni yale ya kuufurahisha na kuuburudisha mwili ili kukufanya uweze kuwa comfortable na huu ulimwengu, kwa hiyo kutokana na hilo watu wengi wanaishi pasipokujua kwa nini wapo hapa duniani kwasababu mambo ya ulimwengu yanatupambaza hadi tunashindwa kukonekti mwili na ule ulimwengu wa kiroho ili tuweze kuwa bora zaidi ya huyo Shetani.
Ndio maana kuna msemo unasema dunia sio ya watu wadhaifu, hii haina maana yoyote katika ulimwengu wa mwili ila unamaana kubwa katika ulimwengu wa kiroho.
Ni kweli Shetani hana shida na watu kama wewe ila kuna watu wako na hatima za kiuungu ndani ya roho zao ndio watu ambao Shetani anashida nao sana.
Hao vibwengo uliowataja wapo katika safu ya utawala wa Shetani ni sawa na waamini wanaposema malaika.
Shetani ni yuko very powerful kama ulivyosema na ako na himaya yake hapa duniani na huu ulimwengu uko na watu wanaobeba hatima za kutimiza malengo ya Shetani ambao hawa ndio watu wenye nguvu na ni watu wenye ushawishi mkubwa na ndio watu wanaoogopwa kwenye kila ngazi ambayo wanaiwakilisha.
Lakini agenda zao wanazozitimiza huwa hazina faida wala muunganiko wowote na roho ila agenda zao zimekaa kwa namna ya kimwili lengo ni kukufanya wewe uliyebeba agenda za kiuungu ndani yako upumbazike hadi ushindwe kufikia lile lengo lililofanya Mungu wako akulete kwenye hili eneo la majaribio (roho zote zilizopo duniani zipo kwenye majaribio) kwahiyo dunia sio sehemu ya maisha ndio maana kuna deadline, ila wengi wanajua ingawa si kwauhakika kabisa kwamba kinachokufa ni mwili na sio roho, hiyo ni kweli na baada ya pale ndio maisha huanza rasmi kwa zile roho zote ambazo zimefanikiwa kutimiza yale malengo yaliyowafanya wawe hapa duniani na ndio huko mnaita paradise.
Wale waliobeba maono ya kiungu wengi wao wanaishi hadi wanakufa hawafanikiwi kama ulivyosema ndugu muandishi kwasababu duniani ili ushinde lazima uwe na nguvu.
Kwahiyo hatuko hapa kwaajiri ya kushindana na shetani ila tuko hapa kwaajiri ya kutimiza hatima zilizotufanya tuwe katika ulimwengu huu mgumu upande wa kiroho ila mrahisi upande wa kimwili.
Ndugu muandishi, usimuogope shetani ila ogopa deadline ikifika ukiwa bado hujamaliza kazi uliyopewa uifanye. Asante.
Kudos 👊Mbwembwe tu na mbinu za kusomba sadaka. Tendeni mema, watendeeni wengine mema, fanya majukumu yako, hakuna acds wala abcds, kuna wewe na tabia zako.
Kwanza kabisa, thibitisha Shetani yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za kutungwa na watu tu.Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.
Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani
Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.
Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.
Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.
Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.
Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.
Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.
Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.
Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.
Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.
Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu
Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga
View attachment 3036495
Sio hadithi za kutungwa ni kweli yupo, watu wengi wanakosa uhakika kwasababu ya kukosa sifa za kumfikia