Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
566
Reaction score
1,583
Asalaam ndugu zangu!!!

Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda kujenga hoja msinichukulie Kama Chawa wengine kutoka CCM,Mimi ni kamanda kweli kweli✊🏿✊🏿

Kwanini nasema Mbowe apumzike au asigombee kabisa Muhula huu;

•Mbinu za kuendeshea Chama kwa sasa zimemuishia,Amekaa kwenye Uenyekiti wa Chama kwa zaidi ya miaka 20 na kila siku mbinu za harakati za Siasa zinabadilika ila yeye bado anaamini kwenye Siasa za kiungwana yaani bado anafikiri CCM anaweza kutoka kwa kuombwa aachie nchi😂😂😂………..CHADEMA inawahitaji watu majasiri kama Tundu LISSU,John Heche,Ezekiel Wenje etc

•Kiongozi anaposhindwa kuleta ushindi,anapaswa kupumzika ili kuachia mtu mwenye mawazo mbadala asongeshe gurudumu mbele la harakati………Mbowe kashindwa kwa sasa na anapaswa kuachia ngazi

•Aking’atuka atakiwezesha Chama kutoka kile zile tuhuma kuwa Chama kinaendeshwa kama Mali ya familia na ukoo wa kina Mbowe……….kwa hapa atakuwa amewafunga mdogo Ma-CCM pamoja na vibaraka wao ACT-Wazalendo

Ni hayo tu kwa Leo ila kiukweli,nitamshangaa sana tena sana kama huyu Kamanda Mkuu atachukua fomu ya kugombea wadhifa wowote ndani ya chama……anapaswa kuwa Mshauri tu kama walivyo kina Mabere Marando,Jakaya Kikwete, au Zitto Kabwe (japo huyu ameachia Chama kwa wapemba coz huku bara Chama hakina mvuto kabisa)

Akiendelea ipo siku Wanachama tunao jielewa tutampindua Kama alivyofanywa James Mbatia

Aluta continua,victory ascalerta✊🏿
 
Mh Mbowe minya hapo hapo - tayari huku washaanza kupiga mayowe ya poo!! dadeq.
 
Hilo tu ndiyo limekupa haki ya kutomtaka Mbowe?Na umezaliwa mwaka 1997?
 
Mh Mbowe minya hapo hapo - tayari huku washaanza kupiga mayowe ya poo!! dadeq.
Nyie endeleeni kumuunga mkono nahisi kuna vitu mnafaidika kutokana na yeye kuwa kiongozi wa chama
 
Ni ukweli mchungu pia ccm imechokwa na wananchi walio wengi! Nikiwemo mimi. Ni vile tu inahonga wapiga kura wajinga, na kuchakachua kura; ndiyo inaendelea kubakia madarakani. Ila tukija kwenue uhalisia; ccm ni 🚮 tu kama zilivyo 🚮 nyingine.
 
Mkuu mbona mnakuwa na mambo ya kizamani sana!??? Lengo kuu la chama chochote kile duniani uwa ni kushika dola,sasa ebu jiulize mpaka sasa unafikiri kwa akili za Mbowe kuna kushika dola kweli hapo!????
Kwani nyie CCM hamjashika dola? why Mbowe pekee, Lipumba, Cheo, Rungwe siyo mwenyeviti au wao hawataki dola? nyie UWT tunawajua vizuri sn
 
Wakuweke wewe key board Worrier
 
Ni ukweli mchungu pia ccm imechokwa na wananchi walio wengi! Nikiwemo mimi. Ni vile tu inahonga wapiga kura wajinga, na kuchakachua kura; ndiyo inaendelea kubakia madarakani. Ila tukija kwenue uhalisia; ccm ni 🚮 tu kama zilivyo 🚮 nyingine.
Yeah Ila kuing’oa CCM sio simple kama bado upinzani ukiwa upo chini ya Mbowe……….anapaswa nafasi wapewe hwatu kama Tundu Lissu,John Heche,Sosopi au ata Abdul Nondo,hawa wakisema nyeupe ni nyeupe na kama nyeusi ni nyeusi kweli ila mbowe amekaa Kiswahili Swahili sana
 
Kwani nyie CCM hamjashika dola? why Mbowe pekee, Lipumba, Cheo, Rungwe siyo mwenyeviti au wao hawataki dola? nyie UWT tunawajua vizuri sn
Halafu Mimi sio KE kama unavyo nichukulia na siwezi nikawa Mwana CCM data siku moja……..Mimi ni kamanda maisha yangu yote na sitokubali watu wachache Kama nyie mnaofaidika na viposho vya Mbowe muendelee kuharibu Chama Kirahisi namna hyo…………..Ubaya ubwela
 
Back
Top Bottom