chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Kabla mbowe hajaachia ngazi tunaitoa ccm kwanza madarakani ndo mbowe apumzike. Tatizo la Tz ni umaskini rushwa undugunization nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie mumeo aanzishe chama ugombee mkuuHalafu Mimi sio KE kama unavyo nichukulia na siwezi nikawa Mwana CCM data siku moja……..Mimi ni kamanda maisha yangu yote na sitokubali watu wachache Kama nyie mnaofaidika na viposho vya Mbowe muendelee kuharibu Chama Kirahisi namna hyo…………..Ubaya ubwela
Sawa ndugu Fredy Mbowe,Naona unatetea cheo cha BabayoMwambie mumeo aanzishe chama ugombee mkuu
Watanzania ni waoga hakuna cha Lissu au Heche. CCM kuitoa kwa nguvu haiwezekani pia angalia Zanzibar au angalia Lissu alivyoshindwa kuitisha maandamano yasiyo na kikomo baada ya uchaguzi 2020. Kinachotakiwa ni wananchi kuwajengea uelewa ili waunge mkono jitihada za mapambano(long term strategy) vinginevyo itabaki kubadli viongozi bila impact kama ICT wazalendoYeah Ila kuing’oa CCM sio simple kama bado upinzani ukiwa upo chini ya Mbowe……….anapaswa nafasi wapewe hwatu kama Tundu Lissu,John Heche,Sosopi au ata Abdul Nondo,hawa wakisema nyeupe ni nyeupe na kama nyeusi ni nyeusi kweli ila mbowe amekaa Kiswahili Swahili sana
Wanaotaka Mbowe aondoke hawajui siasajohnthebaptist mbona wana Lumumba mmechachamaa sana Mwamba ajiuzulu? Kuna shida gani?
Mbona hamumsemi Rungwe?
Wala sio waoga bali amekosekana mtu wa kuwatoa kwenye usingizi ili waamkeWatanzania ni waoga hakuna cha Lissu au Heche. CCM kuitoa kwa nguvu haiwezekani pia angalia Zanzibar au angalia Lissu alivyoshindwa kuitisha maandamano yasiyo na kikomo baada ya uchaguzi 2020. Kinachotakiwa ni wananchi kuwajengea uelewa ili waunge mkono jitihada za mapambano(long term strategy) vinginevyo itabaki kubadli viongozi bila impact kama ICT wazalendo
Hivi na wewe bado unaamini Msigwa alikuwa Mpinzani kweli au mtu wa maslahi binafsi!???Mfano chama angekuwa amepewa Msigwa? Au unataka kiwe kama ACT.. Liwe tawi la watawala.
Mbowe anakusanya kodi? mjunga wewe pesa BOT zimepigwa Trilon kadhaa wewe uoommko busy ba Mbowe?Asalaam ndugu zangu!!!
Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda kujenga hoja msinichukulie Kama Chawa wengine kutoka CCM,Mimi ni kamanda kweli kweli✊🏿✊🏿
Kwanini nasema Mbowe apumzike au asigombee kabisa Muhula huu;
•Mbinu za kuendeshea Chama kwa sasa zimemuishia,Amekaa kwenye Uenyekiti wa Chama kwa zaidi ya miaka 20 na kila siku mbinu za harakati za Siasa zinabadilika ila yeye bado anaamini kwenye Siasa za kiungwana yaani bado anafikiri CCM anaweza kutoka kwa kuombwa aachie nchi😂😂😂………..CHADEMA inawahitaji watu majasiri kama Tundu LISSU,John Heche,Ezekiel Wenje etc
•Kiongozi anaposhindwa kuleta ushindi,anapaswa kupumzika ili kuachia mtu mwenye mawazo mbadala asongeshe gurudumu mbele la harakati………Mbowe kashindwa kwa sasa na anapaswa kuachia ngazi
•Aking’atuka atakiwezesha Chama kutoka kile zile tuhuma kuwa Chama kinaendeshwa kama Mali ya familia na ukoo wa kina Mbowe……….kwa hapa atakuwa amewafunga mdogo Ma-CCM pamoja na vibaraka wao ACT-Wazalendo
Ni hayo tu kwa Leo ila kiukweli,nitamshangaa sana tena sana kama huyu Kamanda Mkuu atachukua fomu ya kugombea wadhifa wowote ndani ya chama……anapaswa kuwa Mshauri tu kama walivyo kina Mabere Marando,Jakaya Kikwete, au Zitto Kabwe (japo huyu ameachia Chama kwa wapemba coz huku bara Chama hakina mvuto kabisa)
Akiendelea ipo siku Wanachama tunao jielewa tutampindua Kama alivyofanywa James Mbatia
Aluta continua,victory ascalerta✊🏿
You’re not open minded person……you’re fooolish and highly stupid personMbowe anakusanya kodi? mjunga wewe pesa BOT zimepigwa Trilon kadhaa wewe uoommko busy ba Mbowe?
Mbowe hakusanyi kodi, tuna dili na wanao kusanya kodi
Wewe ulikuwa unajua mkuu? Majority itajuaje sasa. Au tucheze pata potea?Hivi na wewe bado unaamini Msigwa alikuwa Mpinzani kweli au mtu wa maslahi binafsi!???
Your over stupidy, wajinga nyie, Mbowe ndio anasababisha matatizo kwenye hii nchi? Uganda wana komaa na Mseven ndio mkusanya kodi, Kenya wanakomaa na Ruto ndio mkusanya kodi, SOuth wana komaa na Ramaposa na chama chake cha ANC, Zambia wanakomaa na Hechilema kwa ababu ndio anakusanya kaodi.You’re not open minded person……you’re fooolish and highly stupid person
Nyie ni wajinga, hatuna shida na Mbowe kwa sasa tuna shida na wakusanya kodi wa hii nchi.You’re not open minded person……you’re fooolish and highly stupid person
Me ntakuwa mtu wa mwisho kuamini mtu kama Lissu au Heche kuwa wanaweza wakaenda CCM……Haiwezekani kabisaWewe ulikuwa unajua mkuu? Majority itajuaje sasa. Au tucheze pata potea?
Hapana. CCM ni zaidi ya "...tukija kwenye uhalisia; ccm ni kama zilivyo nyingine". Kama nimekuelewa maana uliyo lenga na haya maneno, siyo kweli kabisa kuwa CCM ni sawa kama vilivyo vyama vingine.
Taifa kama Marekani,mtu mweusi aliteseka sana Ila mpaka kizazi cha Malcolm X na Martin Luther kilipokuja ndio wakaanza kupata mwanga,hapa kwenu Tanzania tunahitaji kiongozi jasiri atuongoze hapa tulipo na huyo mtu sio MboweYour over stupidy, wajinga nyie, Mbowe ndio anasababisha matatizo kwenye hii nchi? Uganda wana komaa na Mseven ndio mkusanya kodi, Kenya wanakomaa na Ruto ndio mkusanya kodi, SOuth wana komaa na Ramaposa na chama chake cha ANC, Zambia wanakomaa na Hechilema kwa ababu ndio anakusanya kaodi.
Wajinga nyie wapumbavu mko busy na Mbowe mbowe, kwani Mbowe ndio mkusanya kodi wa hili Taifa? acheni kuwaza kwa kutumia kamasi hasa hasa wewe hapo.