Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

Mwambie mumeo aanzishe chama ugombee mkuu
 
Watanzania ni waoga hakuna cha Lissu au Heche. CCM kuitoa kwa nguvu haiwezekani pia angalia Zanzibar au angalia Lissu alivyoshindwa kuitisha maandamano yasiyo na kikomo baada ya uchaguzi 2020. Kinachotakiwa ni wananchi kuwajengea uelewa ili waunge mkono jitihada za mapambano(long term strategy) vinginevyo itabaki kubadli viongozi bila impact kama ICT wazalendo
 
Mbowe yuko pale kuiaminisha dunia kuwa Tz ni democratic country!

Dunia imejaa unafiki sana


YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Wala sio waoga bali amekosekana mtu wa kuwatoa kwenye usingizi ili waamke
 
Mfano chama angekuwa amepewa Msigwa? Au unataka kiwe kama ACT.. Liwe tawi la watawala.
 
Mbowe anakusanya kodi? mjunga wewe pesa BOT zimepigwa Trilon kadhaa wewe uoommko busy ba Mbowe?

Mbowe hakusanyi kodi, tuna dili na wanao kusanya kodi
 
Mbowe anakusanya kodi? mjunga wewe pesa BOT zimepigwa Trilon kadhaa wewe uoommko busy ba Mbowe?

Mbowe hakusanyi kodi, tuna dili na wanao kusanya kodi
You’re not open minded person……you’re fooolish and highly stupid person
 
You’re not open minded person……you’re fooolish and highly stupid person
Your over stupidy, wajinga nyie, Mbowe ndio anasababisha matatizo kwenye hii nchi? Uganda wana komaa na Mseven ndio mkusanya kodi, Kenya wanakomaa na Ruto ndio mkusanya kodi, SOuth wana komaa na Ramaposa na chama chake cha ANC, Zambia wanakomaa na Hechilema kwa ababu ndio anakusanya kaodi.

Wajinga nyie wapumbavu mko busy na Mbowe mbowe, kwani Mbowe ndio mkusanya kodi wa hili Taifa? acheni kuwaza kwa kutumia kamasi hasa hasa wewe hapo.
 
Hapana. CCM ni zaidi ya "...tukija kwenye uhalisia; ccm ni kama zilivyo nyingine". Kama nimekuelewa maana uliyo lenga na haya maneno, siyo kweli kabisa kuwa CCM ni sawa kama vilivyo vyama vingine.
Hivi vingine, pamoja na ubovu ulivyo nao, ubovu wao hauwezi kuwa zaidi ya huu wa CCM, ambao walikwisha jiapiza kabisa kutoachia madaraka kwa njia yoyote ile.
Hawa wengine wakiingia madarakani, bado tutakuwa na uwezo wa kuwaondoa wakivuruga, siyo CCM!
 
Taifa kama Marekani,mtu mweusi aliteseka sana Ila mpaka kizazi cha Malcolm X na Martin Luther kilipokuja ndio wakaanza kupata mwanga,hapa kwenu Tanzania tunahitaji kiongozi jasiri atuongoze hapa tulipo na huyo mtu sio Mbowe

Nchi Kama Kenya(Gen Z Movement),wale hawawezi kufanikiwa kitu kwa sababu wanaongozwa na akili zao binafsi ambazo zinatawaliwa na hisia kuliko akili……….Hakuna mapinduzi yaliyo fanyika bila uwepo wa kiongozi jasiri na mwenye akili ya kutosha mfano;
China-Mao Ze Dong
Russia-Vladimir Lenin
Cuba-Fidel casto………sasa hawa wa Africa unafikiri watafika wapi!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…