Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

Unapobishia facts inabidi na wewe uwe na facts. Usibwabwaje tu kama chura alieshiba maji ya chemba za jangwani.

Hebu kosoa mada ya alieandika kwa facts sio unabwabwaja bwabwaja tu.
Sasa Simba kacheza game moja tu unasema anamafanikio makubwa,angalau hata round 2-3 hivi, mbumbumbu pekee ndo atachekelea uzi huu....ngoja baadaye al ahaly leo waongoze kundi na Kesho mpigwe tutaheshimiana tu
 
Waaambie hao.... Asante kwakuwa mkweli

Jr[emoji769]
 
Yaani hata kuandika hujui ndio utoe ushawishi. Nenda kwanza Bakita ukajifunze jinsi ya kuandika Kiswahili fasaha ndio uje kutushawishi na hiyo mikia yako.
 
Utajijua mwenyewe,Simba uwezo ni mdogo halafu kuongoza kundi kwa mechi moja haimaanishi wao ni bora kuliko hao wengine,hapo umeonyesha uwezo mdogo sana kwenye kuelewa mambo. Yanga daima mbele Nyuma mwiko. Kaa na huo ukweli wako mchungu
 
Yeye si mwanachama wala shabiki wa Yanga. Ni shabiki wa mikia. Understood!
Nlikwambia zungumzia alichosema sasa mbona upo tofauti na mada? Hata mm naamini sio mshabiki wa yanga, ila nlikuuliza alichosema ni kweli au ni uongo? Ukasema ni uongo ndo nimekwambia sema hilo la ukweli ili tujue ukweli shida ipo wapi mkuu au lugha ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasiwasi na wewe kama kweli ni Yanga na kama kweli unaufahamu mchezo wa mpira wa miguu...Awali ya yote kama ni mwanachama wa Yanga tuwekee hapa namba ya kadi yako...Yanga imewahi kushiriki kwenye makundi ya klabu bingwa barani Afrika na hata kwenye ligi ya kombe la washindi...Yaani mechi moja tu imechezwa halafu unakuja na hoja kwamba eti Simba inaongoza kundi hapo ni uchambuzi wa kiwango cha chini kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…