Kwani uwakilishi unapatikana kwa kupiga kura? Yanga walikuwa wakichaguliwa kuwakilisha?Yaliyosemwa ni uongo mkuu au ni kweli? Tuanzie hapo kwanza.
Ubingwa wa sheria kupinduliwa eti timu imechelewa kukata rufaa na wakati Kama TFF wasimamizi wa mpira walitakiwa walishughulikie wao wenyewe. Tulikosa mwakilishi mzuri kutokana na kubebwa kwa Chura na tuliona matokeo yake anakuja kutia aibu kupigwa goli Saba na GormahiaKwani uwakilishi unapatikana kwa kupiga kura? Yanga walikuwa wakichaguliwa kuwakilisha?
Je, Yanga hawajawahi kuingia hatua ya makundi?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ilikua 16 bora, utaratibu wa makundi ulibadilika 2001Mwaka 2003 ulikua Bado haujaanza kufatilia Mpira Simba ikicheza 8 Bora? Yanga yangu mnashida kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliekudanganya Dauda? Mbona unaongea vitu ambavyo hauna uhakika navyo? Ile ilikua 8 bora,fuatilia Mambo sio unamezeshwa tuu na hao wachambuzi uchwara...maana Kama Jambo dogo Kama hili ulijui Nina wasiwasi nawewe ushabiki wako inaweza ikawa ndio wale wenye jina la "Yanga yangu" au kipindi icho haufatilii mpira au umri ulikua mdago au mpira umependea ukubwani.
Haijalishi mpira nimependa lini, ila ukweli ndio huo simba haikuwahi fika robo fainali club bingwa Africa, ingia website ya cafNani aliekudanganya Dauda? Mbona unaongea vitu ambavyo hauna uhakika navyo? Ile ilikua 8 bora,fuatilia Mambo sio unamezeshwa tuu na hao wachambuzi uchwara...maana Kama Jambo dogo Kama hili ulijui Nina wasiwasi nawewe ushabiki wako inaweza ikawa ndio wale wenye jina la "Yanga yangu" au kipindi icho haufatilii mpira au umri ulikua mdago au mpira umependea ukubwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli una fatilia mpira au upo kwa ajili ya kubishana?Haijalishi mpira nimependa lini, ila ukweli ndio huo simba haikuwahi fika robo fainali club bingwa Africa, ingia website ya caf
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na mwaka huu anabebwa? Maana tukiwa na ela tunahonga hatuna mnasema tunabebwa[emoji23][emoji23][emoji23]Ubingwa wa sheria kupinduliwa eti timu imechelewa kukata rufaa na wakati Kama TFF wasimamizi wa mpira walitakiwa walishughulikie wao wenyewe. Tulikosa mwakilishi mzuri kutokana na kubebwa kwa Chura na tuliona matokeo yake anakuja kutia aibu kupigwa goli Saba na Gormahia
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huenda ukafikiri now simba iko robo fainal[emoji23][emoji23][emoji23], ni 16 bora braza
Hatimaye umejionesha wewe ni mikiaMapovu ya nini kwani yaliyosemwa ni uongo wakuu vyura? [emoji196]
Na huenda ukafikiri now simba iko robo fainal[emoji23][emoji23][emoji23], ni 16 bora braza
Sent using Jamii Forums mobile app
Makundi yaliku mawili baada ya hapo nusu final bisha tenaNa huenda ukafikiri now simba iko robo fainal[emoji23][emoji23][emoji23], ni 16 bora braza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mwaka huu mnaota ubingwa?Kwa hiyo na mwaka huu anabebwa? Maana tukiwa na ela tunahonga hatuna mnasema tunabebwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufungwa 7 kawaida sana, asenal kapigwa 8 mechi moja, barca kafungwa 8 mechi 2, Madrid 6 mechi 1
Sent using Jamii Forums mobile app