Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

Yaliyosemwa ni uongo mkuu au ni kweli? Tuanzie hapo kwanza.
Kwani uwakilishi unapatikana kwa kupiga kura? Yanga walikuwa wakichaguliwa kuwakilisha?

Je, Yanga hawajawahi kuingia hatua ya makundi?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kwani uwakilishi unapatikana kwa kupiga kura? Yanga walikuwa wakichaguliwa kuwakilisha?

Je, Yanga hawajawahi kuingia hatua ya makundi?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ubingwa wa sheria kupinduliwa eti timu imechelewa kukata rufaa na wakati Kama TFF wasimamizi wa mpira walitakiwa walishughulikie wao wenyewe. Tulikosa mwakilishi mzuri kutokana na kubebwa kwa Chura na tuliona matokeo yake anakuja kutia aibu kupigwa goli Saba na Gormahia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikua 16 bora, utaratibu wa makundi ulibadilika 2001

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliekudanganya Dauda? Mbona unaongea vitu ambavyo hauna uhakika navyo? Ile ilikua 8 bora,fuatilia Mambo sio unamezeshwa tuu na hao wachambuzi uchwara...maana Kama Jambo dogo Kama hili ulijui Nina wasiwasi nawewe ushabiki wako inaweza ikawa ndio wale wenye jina la "Yanga yangu" au kipindi icho haufatilii mpira au umri ulikua mdago au mpira umependea ukubwani.

Haijalishi mpira nimependa lini, ila ukweli ndio huo simba haikuwahi fika robo fainali club bingwa Africa, ingia website ya caf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubingwa wa sheria kupinduliwa eti timu imechelewa kukata rufaa na wakati Kama TFF wasimamizi wa mpira walitakiwa walishughulikie wao wenyewe. Tulikosa mwakilishi mzuri kutokana na kubebwa kwa Chura na tuliona matokeo yake anakuja kutia aibu kupigwa goli Saba na Gormahia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na mwaka huu anabebwa? Maana tukiwa na ela tunahonga hatuna mnasema tunabebwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Kufungwa 7 kawaida sana, asenal kapigwa 8 mechi moja, barca kafungwa 8 mechi 2, Madrid 6 mechi 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huenda ukafikiri now simba iko robo fainal[emoji23][emoji23][emoji23], ni 16 bora braza

Sent using Jamii Forums mobile app

Screenshot_20190119-163905.jpeg
Screenshot_20190119-163840.jpeg
Screenshot_20190119-163824.jpeg
Screenshot_20190119-163507.jpeg
Screenshot_20190119-163507.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anguko kuuuu la yule mnyama mjanja mjanja ndiyo limeanza!
 
Back
Top Bottom