Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

fanya hivyo urudi na mrejesho utanikumbuka .hakuna ndoa kuvunjika wala migogoro isiyo na mbele au nyuma upendo ni roho itakuwepo pamoja nawe
Ungewaambia tu wanajf wakuchangie mkuu
Mada zingine hizi
 
mahali ni utumwa sheria ifuatwe lazima uende kwao na binti kama utafuata maelekezo yangu ya kutoa matunda aina saba ndio mbadala wa mahari[uovu]
Hawawezi kukuelewa
 
mahali ni utumwa sheria ifuatwe lazima uende kwao na binti kama utafuata maelekezo yangu ya kutoa matunda aina saba ndio mbadala wa mahari[uovu]
Hawawezi kukuelewa
 
Acha siasa, unataka umchukue burebure, toa zawadi kwa wazazi wa binti
Hata kodi asili yake ni utumwa, mbona unatoa?
 
Back
Top Bottom