Ukweli Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki)

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.

Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.

Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.

Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
 
Wasimamishe na biashara za madawa ya kulevya na silaha kupekeka DRC na kwingineko kwenye machafuko
 
UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.

Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.

Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.

Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Mnatapatapa sana
 
Na hizo ndizo taasisi zenye mtaji mkubwa zaidi nchini Tanzania (CCM na Roman Catholic).
 
Uongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesa

Hapo hujagusa Rostam Aziz tajiri namba moja Tanzania kwa pesa za kigeni

Mmiliki wa kampuni za gesi ndani na nje ya nchi na migodi Tanzania na nje na mitbobya uchimbaji ya kisasa ya kukodisha ndani na nje ya nchi
Wako GSM wanamiliki meli kibao .CCM tu kaichangia bilioni 10.Kanisa katoliki Tanzania lina huo ubavu wa kutoa bilioni 10 hata kuwagawia waumini wake Tanzania au kuwa zitumike kuwasomesha bure watoto wa wakatoliki kwenye shule zao?

Kama kwelli kanisa katoliki lina pesa kuzidi kampuni yeyote binafsi Tanzania wafute ada zote hospitali na shule zao kwa mwaka mmoja tu watu wasome na kutibiwa bure

Hospital Agha khan funga kazi kanisa katoliki hawamkuti .Ana hospitali bora za uhakika ba huduma bora sana kila kona ya nchi zinazotumiwa na watu wenye pesa wakiwemo wafanyakazi wa serikali
 
Ccm na Rc ibaki hivi ili tutenganishe mafuta na maji,watu wa dini si vzuri kuwashirikisha na hili uko sahihi
 
Uongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesa

Hapo hujagusa Rostam Aziz tajiri namba moja Tanzania kwa pesa za kigeni

Mmiliki wa kampuni za gesi ndani na nje ya nchi na migodi Tanzania na nje na mitbobya uchimbaji ya kisasa ya kukodisha ndani na nje ya nchi
Wako GSM wanamiliki meli kibao .CCM tu kaichangia bilioni 10.Kanisa katoliki Tanzania lina huo ubavu wa kutoa bilioni 10 hata kuwagawia waumini wake Tanzania au kuwa zitumike kuwasomesha bure watoto wa wakatoliki kwenye shule zao?

Kama kwelli kanisa katoliki lina pesa kuzidi kampuni yeyote binafsi Tanzania wafute ada zote hospitali na shule zao kwa mwaka mmoja tu watu wasome na kutibiwa bure

Hospital Agha khan funga kazi kanisa katoliki hawamkuti .Ana hospitali bora za uhakika ba huduma bora sana kila kona ya nchi zinazotumiwa na watu wenye pesa wakiwemo wafanyakazi wa serikali
Wewe kobasi umeandika nini sasa mbona makasiriko?
 
Watu huwa wanamchululia poa samia. Lakini ukweli ni kwamba samia amejipanga kiswasawa. Na hayuko tayari kuiachia hiyo nafasi ya urahisi iende kwa mwingine kirahisi maana hata yeye hakuipata kirahisi kama wengi wanavodhani.
Maadam anao uwezo wa kuipata na kuendelea na uongozi wake, yuko tayali kuitetea kwa vyvyote na yuko serious na anachokifanya. Maneno matupu hayawezi kumzuia asigombee. Na tunajua akigombea ni lazima atashinda ndio maana watu wanataka mabadiliko ili angalau wapate uwezekano wa kushinda.
Sidhani kama hata hao wapinzani wa samia ingekuwa wao wangekubali kuleta mabadiliko ambayo wanajua kabisa yanaweza kuwatoa madarakani.
Hata wtumie kanisa katoliki kumtoa samia haitawezekana maana kadri watakavyotumia nguvu nyingi kupambana nae ndivyo na yeye atakavyotumia mguvu nyingi zaidi kupambana nae.
Ni afadhali kutmia akili kubwa kufanikisha jambo lao kuliko kugoma au kushindana nae mitandaoni.
 
UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.

Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.

Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.

Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Acha ujinga!
 
Cha msingi kwa nini msiufanyie kazi waraka wa Papa Francis in practice sio mnaleta blah blah za mali...
 
Uongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesa

Hapo hujagusa Rostam Aziz tajiri namba moja Tanzania kwa pesa za kigeni

Mmiliki wa kampuni za gesi ndani na nje ya nchi na migodi Tanzania na nje na mitbobya uchimbaji ya kisasa ya kukodisha ndani na nje ya nchi
Wako GSM wanamiliki meli kibao .CCM tu kaichangia bilioni 10.Kanisa katoliki Tanzania lina huo ubavu wa kutoa bilioni 10 hata kuwagawia waumini wake Tanzania au kuwa zitumike kuwasomesha bure watoto wa wakatoliki kwenye shule zao?

Kama kwelli kanisa katoliki lina pesa kuzidi kampuni yeyote binafsi Tanzania wafute ada zote hospitali na shule zao kwa mwaka mmoja tu watu wasome na kutibiwa bure

Hospital Agha khan funga kazi kanisa katoliki hawamkuti .Ana hospitali bora za uhakika ba huduma bora sana kila kona ya nchi zinazotumiwa na watu wenye pesa wakiwemo wafanyakazi wa serikali
Rostam ana huduma gani anaitoa Bure au kwa Bei nafuu Bila tozo (Vodacom) yoyote?!
 
Mtarudi porini kwenu bara muda sio mrefu...Tuone huo ujanja wenu...Kila siku tunatumia bidhaa za Azam sip ujinga wenu...
 
Back
Top Bottom