Wasimamishe na biashara za madawa ya kulevya na silaha kupekeka DRC na kwingineko kwenye machafukoUKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Mnatapatapa sanaUKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Na hizo ndizo taasisi zenye mtaji mkubwa zaidi nchini Tanzania (CCM na Roman Catholic).UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Uongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesaLakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ccm na Rc ibaki hivi ili tutenganishe mafuta na maji,watu wa dini si vzuri kuwashirikisha na hili uko sahihiNa hizo ndizo taasisi zenye mtaji mkubwa zaidi nchini Tanzania (CCM na Roman Catholic).
Wewe kobasi umeandika nini sasa mbona makasiriko?Uongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesa
Hapo hujagusa Rostam Aziz tajiri namba moja Tanzania kwa pesa za kigeni
Mmiliki wa kampuni za gesi ndani na nje ya nchi na migodi Tanzania na nje na mitbobya uchimbaji ya kisasa ya kukodisha ndani na nje ya nchi
Wako GSM wanamiliki meli kibao .CCM tu kaichangia bilioni 10.Kanisa katoliki Tanzania lina huo ubavu wa kutoa bilioni 10 hata kuwagawia waumini wake Tanzania au kuwa zitumike kuwasomesha bure watoto wa wakatoliki kwenye shule zao?
Kama kwelli kanisa katoliki lina pesa kuzidi kampuni yeyote binafsi Tanzania wafute ada zote hospitali na shule zao kwa mwaka mmoja tu watu wasome na kutibiwa bure
Hospital Agha khan funga kazi kanisa katoliki hawamkuti .Ana hospitali bora za uhakika ba huduma bora sana kila kona ya nchi zinazotumiwa na watu wenye pesa wakiwemo wafanyakazi wa serikali
Acha ujinga!UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Uzuzu uliomijaa kwny mafuvu yenu mpk mnajaziwa gas kwa mdomo mnashangiliaMsitutishe sisi kobazi na sisi tumewekeza sana kwenye kucheza bao, drafti vijiwe kahawa na alkasusu tukigoma na sisi je
Cha msingi kwa nini msiufanyie kazi waraka wa Papa Francis in practice sio mnaleta blah blah za mali...UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Wkt wa vugu vugu la kutaka uhuru mbn walikua vibaraka wa wakoloni?Catholic wapo vizuri huo ni ukweli usio navshaka wakishinikiza mabadiliko yatatokea
Rostam ana huduma gani anaitoa Bure au kwa Bei nafuu Bila tozo (Vodacom) yoyote?!Uongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesa
Hapo hujagusa Rostam Aziz tajiri namba moja Tanzania kwa pesa za kigeni
Mmiliki wa kampuni za gesi ndani na nje ya nchi na migodi Tanzania na nje na mitbobya uchimbaji ya kisasa ya kukodisha ndani na nje ya nchi
Wako GSM wanamiliki meli kibao .CCM tu kaichangia bilioni 10.Kanisa katoliki Tanzania lina huo ubavu wa kutoa bilioni 10 hata kuwagawia waumini wake Tanzania au kuwa zitumike kuwasomesha bure watoto wa wakatoliki kwenye shule zao?
Kama kwelli kanisa katoliki lina pesa kuzidi kampuni yeyote binafsi Tanzania wafute ada zote hospitali na shule zao kwa mwaka mmoja tu watu wasome na kutibiwa bure
Hospital Agha khan funga kazi kanisa katoliki hawamkuti .Ana hospitali bora za uhakika ba huduma bora sana kila kona ya nchi zinazotumiwa na watu wenye pesa wakiwemo wafanyakazi wa serikali
Kwenye sakata la DP World walishinikiza au hawakushinikiza?Catholic wapo vizuri huo ni ukweli usio navshaka wakishinikiza mabadiliko yatatokea
Mpinge kwa hoja sasaAisee kumbe watu ni Mbumbumbu hivi.
JF imeingiliwa.