ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Kama usemayo ni kweli basi hao jamaa hawawezi kuisulubu Serikali kwa kuwa nao wataandamwa na watapoteza miradi yao !UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo.
Sababu kubwa sio tu kwamba wakatoliki ni wengi lakini kwa Tanzania hakuna kampuni yeyote ya binafsi au shirika lolote lenye uwekezaji mkubwa nchini na kwa miaka mingi zaidi ya kanisa la katoliki. Kanisa la katoliki liko nyuma ya serikali pekee.
Lakini thamani ya manyumba, viwanja, mashule, mahospitali, mahosteli na vyuo ni zaidi ya kampuni yeyote au shirika lolote Tanzania. Ukweli ni mchungu lakini tukitaka mabadiliko ya haraka ni hawa jamaa kutishia mgomo.
Ukweli ni kwamba maongezi yamesha anza kuhakikisha wanasimama na haki tena kwa support kubwa na makanisa mengine Duniani kama walivyofanya Congo
Amejipanga Samia au wanamtandao.!?Watu huwa wanamchululia poa samia. Lakini ukweli ni kwamba samia amejipanga kiswasawa
Serikali au CCM !?Kama usemayo ni kweli basi hao jamaa hawawezi kuisulubu Serikali kwa kuwa nao wataandamwa na watapoteza miradi yao !
Serikali ni Dude kuuubwa sana Bandugu. !
IkiiUongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesa
Hapo hujagusa Rostam Aziz tajiri namba moja Tanzania kwa pesa za kigeni
Mmiliki wa kampuni za gesi ndani na nje ya nchi na migodi Tanzania na nje na mitbobya uchimbaji ya kisasa ya kukodisha ndani na nje ya nchi
Wako GSM wanamiliki meli kibao .CCM tu kaichangia bilioni 10.Kanisa katoliki Tanzania lina huo ubavu wa kutoa bilioni 10 hata kuwagawia waumini wake Tanzania au kuwa zitumike kuwasomesha bure watoto wa wakatoliki kwenye shule zao?
Kama kwelli kanisa katoliki lina pesa kuzidi kampuni yeyote binafsi Tanzania wafute ada zote hospitali na shule zao kwa mwaka mmoja tu watu wasome na kutibiwa bure
Hospital Agha khan funga kazi kanisa katoliki hawamkuti .Ana hospitali bora za uhakika ba huduma bora sana kila kona ya nchi zinazotumiwa na watu wenye pesa wakiwemo wafanyakazi wa serikali
Ndio wenyewe hao hao tu 😂 !Serikali au CCM !?
Za CCM ni za kisanii a.k.a. ulaghai na ufisadi!Na hizo ndizo taasisi zenye mtaji mkubwa zaidi nchini Tanzania (CCM na Roman Catholic).
Mali ni mali tu, haijalishi kama imepatikana kwa ulaghai au la, mradi tu watanzania mmeamua kukubaliana na kuwa mnyenyekevu kwa mwenye hizo mali.Za CCM ni za kisanii a.k.a. ulaghai na ufisadi!
Hivi unajua kanisa katoliki lina majimbo mangapi? Halafu hii pesa haina costs of production wala taxes na hili ni jimbo dogo 1 tu kwa jumapili 1 tu na sio kutoka kwenye vitega uchumi.Uongo .Utajiri wa Bakheresa tu unawazidi katoliki mbali mno kwa thamani na kipesa