Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Naona leo utakesha ukisheherekea kifo cha membe. Sukumagang hatimae leo mmepata faraja.Naona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?
Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.
Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.
Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Kwa kweli Cariha, Tanzanzania tuingie makanisani na misikitini tutubuWatu mna mambo mnaonea wivu Hadi wasifu wa marehemu haya si maajabu.
Watu mna mambo mnaonea wivu Hadi wasifu wa marehemu haya si maajabu.
The truth must be spokenKwa kweli Cariha, Tanzanzania tuingie makanisani na misikitini tutubu
Sasa wewe Creche utajuwa nini...kale michembe na hhombaNaona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?
Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.
Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.
Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Unamwonea wivu hadi marehemu itakuwaje walio hai.Hapo ndipo safari ya kumpuzika mahala pema huanzia.Naona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?
Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.
Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.
Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Tumekuwa taifa la ki sadist sadist hivi, wasifu wa mtu watu wanachukia huo si ndio uchawi wenyewe sasaKwa kweli Cariha, Tanzanzania tuingie makanisani na misikitini tutubu
Bahati mbaya humjui unayemdhihaki kwa usilolijua huyo ni mmoja ya wale ma comrade 100 wa kwanza kuingia usalama wa taifa na ni mtu ambae kama nchi imetowa hela nyingi mno kumgharamia kumsomesha toka awamu ya kwanzaNaona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?
Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.
Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.
Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Siyo kuonea wivu wasifu wa marehemu, ni kuangalia upande wa pili wa shilingi.Watu mna mambo mnaonea wivu Hadi wasifu wa marehemu haya si maajabu.
Sasa we unalinganisha au unasema hana mchango?Naona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?
Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.
Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.
Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Badilisha basi huo wasifu mkuuThe truth must be spoken
Ishu ni mchango wake kwa taifa letuBahati mbaya humjui unayemdhihaki kwa usilolijua huyo ni mmoja ya wale ma comrade 100 wa kwanza kuingia usalama wa taifa na ni mtu ambae kama nchi imetowa hela nyingi mno kumgharamia kumsomesha toka awamu ya kwanza
Ameshiriki mission nyingi sana kwa ajili ya nchi hii hata ile ya kule DRC huyu ndo alikuwa master mind labda kama hulijui hilo
Mengine yatabakia kuwa siri ya serikali na kwa wanaoyajua tu na hii ndo shida ya majasusi mara nyingi hata wakifaga huwa sifa zao na mission zao nyingi walizofanyaga kwa Tanzania huwa hazielezewi zinabakia kuwa siri tu.
Hivyo kwa usilolijua ni bora kukaa kimya sababu wahusika wanakuskia na kukuona mropokaji kwa kupayuka mambo usiyoyajua.
Accomplishment zake ni kubwa sana Kwa nchi yetu na kimedani huwezi mfananisha na hao vidampa wengineSiyo kuonea wivu wasifu wa marehemu, ni kuangalia upande wa pili wa shilingi.
Wewe unaweza ku-single out accomplishment angalau moja ya Membe?
Je majukumu yake yalikua yanamuwezesha kufanya hadharani kama bangi zako zinavyokutuma?Siyo kuonea wivu wasifu wa marehemu, ni kuangalia upande wa pili wa shilingi.
Wewe unaweza ku-single out accomplishment angalau moja ya Membe?
We need vivid examplesAccomplishment zake ni kubwa sana Kwa nchi yetu na kimedani huwezi mfananisha na hao vidampa wengine
Unataka ujue siri za taifa?Ishu ni mchango wake kwa taifa letu
Membe amekuzidi mengi Hadi dhambi kaa Kwa kutulia mkuu.We need vivid examples