Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Tulishuhudia marehemu Lyatong akifanya makubwa kwa taifa hili hadharaniJe majukumu yake yalikua yanamuwezesha kufanya hadharani kama bangi zako zinavyokutuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishuhudia marehemu Lyatong akifanya makubwa kwa taifa hili hadharaniJe majukumu yake yalikua yanamuwezesha kufanya hadharani kama bangi zako zinavyokutuma?
Sasa hizo mission alizokuwa anazifanya alikuwa anafanya kwa ajili ya zimbabwe.Ishu ni mchango wake kwa taifa letu
We need vivid examplesSasa hizo mission alizokuwa anazifanya alikuwa anafanya kwa ajili ya zimbabwe.
Usione timefika hapa tulipo leo,jua kuna watu wanakesha na kupambana kwa jasho na damu hata kuhatarisha maisha yao kwa ajili ya nchi yetu.
Na bahati mbaya huwa hatuambiwi kamwe mission zao walizofanya hata kama wakifa huyo ameajiriwa usalama akiwa na miaka 20 kipindi cha mwalimu na amefanya mission ngum mno ambazo siwezi zielezea hapa
Na mpaka anakufa ni kwamba alikuwa akilitumikia taifa japo wewe kwa jicho lako unaweza kuona alikuwa tu mstaafu au otherwise.
Acha hasiraSasa wewe Creche utajuwa nini...kale michembe na hhomba
Mchoro mzima wa wapi tuanzie na wapi tumalizie kule congo mpaka tukamtoa M23 kule DRC mchoro ote ulipangwa na huyo mzee mastermind akiwa kama waziri wa mambo ya nje lakini upande wa pili akiwa commando na jasusi hatari mno.We need vivid examples
Lakini kafia hapo kairuki, kiwepesiii kabisaa.Mchoro mzima wa wapi tuanzie na wapi tumalizie kule congo mpaka tukamtoa M23 kule DRC mchoro ote ulipangwa na huyo mzee mastermind akiwa kama waziri wa mambo ya nje lakini upande wa pili akiwa commando na jasusi hatari mno.
Huyo bwana ndo alifanikisha safari za Bush/Obama/Clinton na wengine wengi kuja Tanzania nini walileta na miradi gani waliifanikisha kwa kuja kwao hiyo nakuachia home work.
Amewezesha miradi mingi sana ya uwekezaji toka makampuni ya nje kwa kuwavuta wawekezaji kutoka nchi zilizoendelea kwa kuwashawishi kuja kuwekeza kama vile Halotel nk
Kwa upande wa mission nmekupa moja ila za ndani ni nyingi na nyingi zinabakia kuwa siri na zote alizifanikisha kwa 95% mpaka wakampachika jina la jasusi mbobevu
Bwashee mbona povu, imepiga kwenye mshono? Kwani yeye na Mrema walikuwa na tofauti gani? Wote mashushu, wote wakawa wabunge, wote wakawa mawaziri. Hoja yako inakosa mashikoJe majukumu yake yalikua yanamuwezesha kufanya hadharani kama bangi zako zinavyokutuma?
Alikufa muhammad (S.A.W) atakuwa membe?Lakini kafia hapo kairuki, kiwepesiii kabisaa.
Sasa nguvu na ujuzi huo angetumia hata kuepuka kifo km hicho.
Sidhani kama ni sahihi kusikia fulani kafa halafu wewe unasema hakuacha mchango wowote kwa taifa. It is simply incorrect and unexpected. Tuchukulie kuwa unashangilia hicho kifo? Kwani amekwenda kuzuia kifo chako? Kwa hata asiyemwamini Mungu anajua kuwa hakuna mtu ajuaye siku ydke ya kufa na wala kifo chake kitatokeaje.Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?
Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.
Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.
Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462