Ukweli Mchungu: Marehemu Benard Membe hana mchango mkubwa kwenye taifa hili kama alivyokuwa Lyatonga Mrema

Ukweli Mchungu: Marehemu Benard Membe hana mchango mkubwa kwenye taifa hili kama alivyokuwa Lyatonga Mrema

Nonsense wengi humu wakati wa mrema walikuwa hawajaza au wadogo sana, wanauelewa mchango wa Membe zaidi
 
Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?

Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.

Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.

Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Kaka kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Tumekuwa taifa la ki sadist sadist hivi, wasifu wa mtu watu wanachukia huo si ndio uchawi wenyewe sasa
Yani mkuu, Kuna damu iliingia nchini anzia 2016 hivi.. hadi leo haijatoka..
 
Alikufa muhammad (S.A.W) atakuwa membe?
Hapa hatuzungumzii atakufa au hatokufa bali tunazungumzia mchango wake kwa taifa letu
Wachaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oyaa this is non sense kwan lazima awe na mchango mkubwa, ww kwa taif ili unae mchango gani kaka?? Guys plz focus on your problems kwnza achanen na nyuzi za kipuuzi!


Sorry Kama nimekosea
Ukiwa waziri kwa miaka mingi unakosaje mchango katika taifa?
 
Naona leo utakesha ukisheherekea kifo cha membe. Sukumagang hatimae leo mmepata faraja.

Nyambaff
Kifo ni njia ya kiumbe chochote kilichopewa uhadi na mola wetu. Siyo tembo, wala nzi wala panya wala watu wazuri au watu washamba wote wataishia kwenye kifo. Kauli za "Watu wazuri hawafi" au "Mungu kamaliza ubishi" siyo maneno ya kistaarabu kutoka mdomoni mwa kiongozi kwani yanapoanza kuwarudi inakuwa wote wanaonekana ni wapumbavu zaidi ingawa ndio wana nguvu serikalini kwetu, na hivyo kuifanya serikali yetu ya kipumbavu pia.
 
Back
Top Bottom