Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama yanga wanataka kumsajiri chama maana namba anayo cheza yeye wapo wengi pale

Huyo chama labda akajaribu bahati huko Azam kwa waramba vijiti

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwa siasa za timu za Kariakoo hilo linawezekana mkuu, kwani Mkude walikuwa na mahitaji naye kivile?
 
Kwa siasa za timu za Kariakoo hilo linawezekana mkuu, kwani Mkude walikuwa na mahitaji naye kivile?
Sahihi ila Zama zinabadilika na kama unavyojua chama akiwa Tanzania hataki kuanzia benchi unafikiri yanga wataweza kummudi wa tabia zake uchwara kama hizo

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Uliposema Jr. nikahisi ni kipa wa Yanga aise. Kidogo niseme sichungulii magame hayo tena. Kajama mi nakapenda. Kumbe mshikaji wa Simba
 
Viongozi watafute mbadala wa huyo "Chawa", mchezaji hawezi kuwa mkubwa kuliko timu.
 
Kama uyasemayo ni kweli basi Simba ishinde mechi zake bila Chama amani itakuwepo, ikitokea Simba ikafungwa au kutoa sare bila Chama kuwepo Kuna mambo matatu lazima yatokee.
1.Kocha kufukuzwa
2. Mangungu kupewa shinikizo lakuachia
madaraka.
3.Chama kurudishwa kundini haraka, ili kutuliza upepo, kitu ambacho Benchika hatakubali na kuondoka.
4.Suluhisho pekee ni Simba kushinda mechi zake bila Chama kuwepo uwanjani.
NAKAZIA
 
Ajitumi=hajitumi

Ajishughulishi=hajishughulishi.

Zingatieni uandishi mzuri ili kuleta ladha na hamu ya kusoma.

Inawezekana ulichoandika ni cha kweli ila uandishi mbovu hupunguza ladha.
 
Ajitumi=hajitumi

Ajishughulishi=hajishughulishi.

Zingatieni uandishi mzuri ili kuleta ladha na hamu ya kusoma.

Inawezekana ulichoandika ni cha kweli ila uandishi mbovu hupunguza ladha.
Ahsante mkuu ila hakikisha na wewe upo right Kila angle

Namimi kama Abby
Chambuzi genius

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Viongozi watafute mbadala wa huyo "Chawa", mchezaji hawezi kuwa mkubwa kuliko timu.
Simba wala hawana shida naye Sana ispokuwa mkataba wake ni wa Pesa ndefu so kuna kizungumtuti cha kumvunjia mkataba ndio maana alipotaka kuvunja mkataba wakashkuru gafla chama akabadili gia angani akaanza vituko

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom