Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr


Nakubali maelezo yako yote mkuu, pia nashukur kunipa hayo maelezo kuwa Method jina la fundi linatokana na profession yake sio umahiri wake wa soka. Pia ni kweli alikuwa kiraka, na kama alicheza namb 6maple Simba ni mechi chache ukilinganisha na mechi za miaka miwili ya mwisho yote kabla hajenda Yanga akiwa 5. Hata Yanga aliendelea kucheza namb 5 hadi alipotaka kwenda uarabuni na kujiua. Ni kuanzia mechi ya Gor Mahia alipo kuweka kassanga bwalya benchi. Na mechi yake ya mwisho akiwa Simba ni tulipocheza na reli.

Alipokuwa Yanga alimleta ndgu yake Filotei ila hakuwa fundi kama kaka yake. Nafikr ukuta wa Yanga mgumu wa muda wote ni yeye centre half, kimanda bamba nne na sita akiwa issa athumani mgaya
 
Unathibitishaje ni ukweli bila kusikia na upande wa pili.Usipende kuhukum mambo yakusikia upande mmoja.
 
Nashau kwa international games, CHAMA apumzishwe kupisha upepo
 
Kuhusu Nasoro Kapama, hauna taarifa zake?
 
Muache muone
Tukiwafunga 5 za mzunguko wa pili lazima awapige hat trick
 
Viongozi inabidi wampigie magoti chama vingenevyo hatutafika popote.

Game nyingi chama anatubeba sasa kama akiondoka itakuaje sasa jamani?

Mashabiki wenzangu chonde chonde tushinikize uongozi wetu ufanye juu chini uhakikishe chama abaki either wamuongezee mshahara au wakiri wao wenyewe kupitia 'public notice' kua wao ndio wenye makosa na sio chama.

Nyie wenyewe ni mashahidi kwa game kama ya jana kule mbele tulikosa ubinifu kabisa..Ni chama,No more goaaals.

Hawa wakina Saido,Kibu na wakina Chilunda hawatatupeleka popote bila Mwamba wa lusaka.

Abby Uladu
SAGAI GALGANO
Scars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makolo yanaruka na kukanyagana yanaruka kinyama×2
 
Soma 👇🏿
 

Attachments

  • 2514D13C-AF36-4343-A8AA-514407044A74.jpeg
    34.9 KB · Views: 1
Ongezea na bocco huyu ndio atifai kabisa

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hakika hapa umesema kweli waache kumuona Mungu mtu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…