Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
- Thread starter
- #121
Ah hii picha nimeipendaMtoa sindikiza na kapicha mwamba akipangwa uongo.
View attachment 2850660
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah hii picha nimeipendaMtoa sindikiza na kapicha mwamba akipangwa uongo.
View attachment 2850660
Kama unasema Method alicheza Simba namba 5 basi huenda umemuona akicheza mwishoni mwa carrier yake pale Msimbazi, nakumbuka kwenye mechi dhidi ya Yanga mwaka 1990 Yanga alivyofungwa 1-0 kwa goli la faulo ya mbali la Mavumbi Omari, Method alicheza no 6 huku Gaga akicheza 8,wakati huo hao uliowataja hawakuwepo Simba isipokuwa Lenny aliyekuwa anakuja na kuondoka Simba (maana kuna kipindi alikuwa anaenda kucheza Uarabuni na wachezaji wengine kama Idd Pazi),Ingawa Method alikuwa kiraka anayeweza kucheza namba zote isipokuwa kipa,no 6 ndiyo ilimtambulisha tangu akiwa Umiseta Kanda ya kusini (wakati huo akisoma Mtwara Tech) hadi alivyoenda Arusha Tech pia ambapo akiwa Arusha alicheza AICC na huko alikuwa akicheza no 6, Method Mogella alikuwa kiungo mwenye ball control ya hali juu sana,alipohamia Yanga ndio nikamwona akicheza no 5 but unapotaja jina Method Mogella picha ya kwanza inayokujia ni kiungo na sio beki wa zamani.Wengi hawajui kuwa kuwa Method Mogella ndiye mchezaji mahiri aliyecheza Simba huku akiwa ni shabiki lialia wa Yanga huku Thomas Kipese naye ni mchezaji mahiri aliyecheza Yanga huku akiwa mnazi mkubwa wa Simba,pia wengi wanafikiri Method Mogella aka yake ilikuwa" fundi' kwa sababu ya umahiri wake kiwanjani,huyu alikuwa mchezaji aliyekuwa fundi by profession akiihitimu Chuo cha ufundi Arusha
Simba bis dead in Thickest Forest [emoji24][emoji24][emoji24]Unathibitishaje ni ukweli bila kusikia na upande wa pili.Usipende kuhukum mambo yakusikia upande mmoja.Mkuu hii habari ni kweli hauna uongo ata punje
Upuuzi wa kumuona chama Kila kitu ndio unawaponza Simba waingie Sokoni watafute mchezaji zaidi ya chama
Umesahau saido aliondoka ,djuma Shaban na bangala mbona yanga ilisimama unajua kwanini?
Kwasababu yanga wamepata mbada wa wachezaji hao
Viongozii waache ulimbukeni wa kumtukuza mchezaji ipo siku wakiendeleza kumdekeza chama atamtia mtu kidole
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu wacha tuone maamuzi ya kikao cha kamati ya nidhamu kitasemajeUnathibitishaje ni ukweli bila kusikia na upande wa pili.Usipende kuhukum mambo yakusikia upande mmoja.
Ipo waziNashau kwa international games, CHAMA apumzishwe kupisha upepo
Kuhusu Nasoro Kapama, hauna taarifa zake?Habari za jioni wakereketwa wa kabumbu.
Ebwana kutoka kwenye chanzo cha ndani kabisa na kwa mtu Makini na kiongozi wa Simba ambaye ni miaka 4 sasa anafanya kazi Simba amenipa dondoo nne za kusimamishwa kwa mwamba wa Lusaka.
1- Chama aliuomba uongozi kuvunja mkataba wake mwenyewe ili abadilishe mazingira (akadhani uongozi utamgomea) lakini uongozi wa simba ulikuwa tayari umesharidhia na ombi lake hapa chama alipigwa na butwaa kwani kuvunja mkataba wake ni Pesa ndefu Sana...
2-Kwa wale ambao waliwai kufika uwanjani siku ile Simba anacheza na waydad Casablanca, muda wa warming up chama alimuomba jamaa flani hivi mpira punde si punde kocha wa viungo aliwaita wachezaji wote ili waendelee na program cha ajabu chama hakutaka kuenda kwenye program ya kocha wa viungo ananga'nga'nia apewe mpira na yule jamaa akamkazia kumpa mpira....hii ilipelekea chama kukasirika sana mpaka matola kumsihi zaidi ya mara tatu chama akafanye mazoezi na wenzake(walio kuwepo uwanjani waliona hili tukio live).
3- Chama hataki kamwe kuwa mbadala wa mchezaji yeyote pale Simba anataka aanze kupangwa yeye hataki kuingia akitokea SUB,katika hili chama ashajiona yeye ni Ronaldo pale Simba kwamba kumuweka benchi ni dharau na kumkosea heshima.
4-Chama aligomea tena mazoezi ya viungo Jana hii ilimkasirisha Sana kocha Benchika na rasmi akamtoa kwenye mipango yake.
Hatahivyo chama ajitumi mazoezini , ajishughulishi na amejisahau kwamba hakuna mkubwa katika timu.
Tutegemee mawili katika maamuzi ya kikao cha kamati ya nidhamu
1-Chama kutakiwa Kila khery Simba.
2- Au kupumzishwa mechi sita zote za mashindano ya ndani na nje.
Hizi ni habari za kweli kabisa achana na wazee wa udaku.
Namimi kama Abby.
Chambuzi genius.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Umeona kilicho tokea jana?Akili hizi mnazipatia dampo gani?
Ataziba nafasiNi kweli usemacho.
Ila natamani waje na maamuzi ya siri, ila wamwambie kocha ampige benchi la kutosha na pili, akatwe mshahara
Huyo hata kuziulizia sijauliza namba yenyewe hapati kwanzaKuhusu Nasoro Kapama, hauna taarifa zake?
Tunawasubiri kwa hamu waingie miziki tenaMuache muone
Tukiwafunga 5 za mzunguko wa pili lazima awapige hat trick
Ongezea na bocco huyu ndio atifai kabisaViongozi inabidi wampigie magoti chama vingenevyo hatutafika popote.
Game nyingi chama anatubeba sasa kama akiondoka itakuaje sasa jamani?
Mashabiki wenzangu chonde chonde tushinikize uongozi wetu ufanye juu chini uhakikishe chama abaki either wamuongezee mshahara au wakiri wao wenyewe kupitia 'public notice' kua wao ndio wenye makosa na sio chama.
Nyie wenyewe ni mashahidi kwa game kama ya jana kule mbele tulikosa ubinifu kabisa..Ni chama,No more goaaals.
Hawa wakina Saido,Kibu na wakina Chilunda hawatatupeleka popote bila Mwamba wa lusaka.
Abby Uladu
SAGAI GALGANO
Scars
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika hapa umesema kweli waache kumuona Mungu mtu.Ni akili mgando hizo. Hakuna anayekataa kuwa Chama alituvusha hadi kufika makundi lakini sasa hana cha kuipa Simba tena. Ni aidha kiwango kimeshuka au amechoka kuwepo Simba na ameonyesha hivyo kwa vitendo tena hadharani kuwa ameichoka Simba. Hata wewe mkuu hata kama mkeo amekuzalia watoto lakini imefika wakati amekuchoka na amepata buzi utang'ang'ania kuwa naye? Kwa mwanaume mwenye busara utamuacha kwa taratibu zote stahiki vinginevyo ukilazimisha kuwa naye utakuja kumkuta na hilo buzi lake kitandani kwako. Chama alikuwa na faida kwa Simba lakini sasa hana faida yoyote ni busara aondoke na tunamtakia maisha mema huko alikoahidiwa malisho mema.