Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

Umemmaliza kabisa.Sasa huko alipo atakuwa anasoma na kuandika huku analia kwa kwikwi na kupandisha makamasi.😂😂😂😂
Kwa kujifariji hamjambo😆😆 yaani Lisu awe Rais wa Tanzania? Hiyo ndoto ifute kabisaa, Hana huo uwezo Ni vile tu kwa kuwa chama chenu hakina watu wengine ndio maana yeye mnamuona Kama angalau
 
Sasa,weye unatesekea nini?Kwa nini usisaidie hata kuosha vyungu mlivyopikia komba la komoni hapo nyumbani kwa shemeji yako?Amekuomba kura huyo Lissu?Hayaaa!?Acha ukimbwenerehi sasa,umekua mtu mzima.😂😂😂😂
 
Pumba tuupuuu
 
Lingine ni kuwa lisu anajua kila kitu. Maoni yake ni hakika, lazima yafuatwe.
 
Sasa,weye unatesekea nini?Kwa nini usisaidie hata kuosha vyungu mlivyopikia komba la komoni hapo nyumbani kwa shemeji yako?Amekuomba kura huyo Lissu?Hayaaa!?Acha ukimbwenerehi sasa,umekua mtu mzima.😂😂😂😂
Nina haki ya kusema na kuwaeleza ukweli ili asipoteze muda wake tu na kupotoshana na maneno yenu nyie wapambe mnaomwogopa kumwambia ukweli kwa kuogopa kutukanwa
 
Hata mahakamani vichaa wana haki ya kusikilizwa.Lete maneno jamaa yetu Lucas.Hivi Lucas ndiyo jina lako la ubatizo?
 
Endeleeni kujibanza hapo hapo ufipani palipokosa hata hadhi ya makao makuu ya chama chenye miaka 30 Tangia kisajiliwe licha ya kujikusanyia Ruzuku za kutosha na michango ya kutosha lakini zote zimeishia kutafunwa na viongozi wenu janja janja
Mabwege wengi wapo msitu wa hifadhi wa lumumba
 
Hawezi na haitatokea kumpa chini na shoga yule, ishu za madini huyu ashanunuliwa kitambo sana.
 
Endeleeni kujibanza hapo hapo ufipani palipokosa hata hadhi ya makao makuu ya chama chenye miaka 30 Tangia kisajiliwe licha ya kujikusanyia Ruzuku za kutosha na michango ya kutosha lakini zote zimeishia kutafunwa na viongozi wenu janja janja
Kumbe unajua kwamba kina hadhi?Utasema yote.
 
Ndio tutawapa wakuwasaidia kupata hata wabunge wachache ,maana huyo Lisu Hawezi kuwapa hata mbunge mmoja wa kwenda bungeni zaidi atakimaliza na kukiangamiza chama chenu,
Hivi una macho kweli kwenye hilo fuvu lako Lucas au ni vidonda hivyo?Umeshaeleza mwenyewe kwa mwandiko wako ni Tundu Antipas Mughwai Lissu!Nini mbaya na weye?
 
Ndio tutawapa wakuwasaidia kupata hata wabunge wachache ,maana huyo Lisu Hawezi kuwapa hata mbunge mmoja wa kwenda bungeni zaidi atakimaliza na kukiangamiza chama chenu,
Hivi kwenye kaghetto kako utakuwa umeandika CHADEMA makenchini.Unaipenda sana.
 
Hakuna ukweli wowote uloandika hapa. Zaidi ni bange tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…