Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

Nchi hii ina nini wanachohitaji wazungu? Tungekuwa na cha maana hivyo tusingeona kusumbuana kwenye tozo za miamala. Au wazungu wanataka kuja kukusanya tozo kwenye line za simu?
Hao viumbe wakishajazana miuongo na propaganda dhaifu wanakuja hadharani kutoa yalivyo bila kukaa chini na kuchuja mambo.Wapowapo tu na mishati yao ya vitenge vya kijani kama Tshala Muana anatumbuiza rhumba mizique!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtoabmada upo sahihi kabisa inagawa ni kweli Lisu ana karama ya uongozi lakini kuwa Rais hizo sifa hana .Anajiamini kupita kiasi na kwa huluka yake na maamuzi kumshinda hadi Jpm ni zaidi ya Simba maana haogopi mtu.Sasa kwa Hali ya uongozi hyo Hali sio nzuri .
 
Kwani unaumia?
 
Kama mwehu Magufuli ameweza kuongoza nchi, iweje kichwa adhimu kama lissu ashindwe?
 
Usisahau kuwa jamaa anapenda sana utawala wa sheria.
Sio tatizo ikiwa kila kitu atafanya kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi
 

Akili ndogo hujadili watu baadala ya issues. Unamjadili Lissu ambaye hayupo nchini , unaacha kujadili mfumuko wa Bei ya vyakula. Wewe tukuite Nani?.

Yani kwako Lissu anakuumiza kuliko mfumuko wa Bei. Unashida kwenye system yako.
 
Ulitaka upewe hiyo nafasi wewe??
 
Hapana sitaki kupewa maana hata umri wa kugombea nafasi hiyo sijafikisha, pia ndani ya CCM tuna hazina ya viongozi wengi baada ya mama kumaliza muda wake 2030 kwa utumishi wake uliotukuka
Ulitaka upewe hiyo nafasi wewe??
 
Akili ndogo hujadili watu baadala ya issues. Unamjadili Lissu ambaye hayupo nchini , unaacha kujadili mfumuko wa Bei ya vyakula. Wewe tukuite Nani?.

Yani kwako Lissu anakuumiza kuliko mfumuko wa Bei. Unashida kwenye system yako.
Mfumuko wa Bei unaendelea kupunguzwa kila wakati kwa juhudi za mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ikiwepo kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea iliyopelekea kushuka kwa mbolea, lakini pia hata katika Nishati ya mafuta serikali inatoa Ruzuku ,hata mwezi huu kiasi Cha billioni 65 zimetolewa katika mafuta,
 
Tozo Ni kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe kupunguza mzigo wa madeni, hujasikia hata hapo Kenya William Ruto analia kuwa karibu 65% ya makusanyo ya Kodi kila mwezi yanakwenda katika kulipa madeni? Hatutaki kukopa kwa kila kitu hata kwa vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu
Ni tozo ndio kichwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Urais nizaidi ya hayo, Kujuwa kwake Sheria siyo sufa pekee ya yeye kuwa Mkuu Wa nchi, anakosa vitu vingi Sana anavyopaswa kuwa navyo mkuu wa nchi, Akae na aendelee kujifunza kwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
Usisahau kuwa jamaa anapenda sana utawala wa sheria.
Sio tatizo ikiwa kila kitu atafanya kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi
 
Nitajie kiongozi ndani ya kijani ambaye si

1- Fisi.
2- Mlafi
3- Mwongo mwongo.
4- Fisadi.
5- Mwizi wa kura.
6- hategemei polisi kufanikisha malengo haramu ya kisiasa.
7- Mtegemea kutembeza bakuli kujenga vyoo kutoka kwa mabeberu.
Mh mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ni kiongozi Safi na mzalendo wa kweli kwa nchi hii, Hana doa Wala dosari yoyote ya kiuongozi, Ni chuo Cha uongozi na mfano wa kuigwa hapa nchini ,Afrika mashariki kusini mwa Afrika na Dunia yote kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…