Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

Hapana sitaki kupewa maana hata umri wa kugombea nafasi hiyo sijafikisha, pia ndani ya CCM tuna hazina ya viongozi wengi baada ya mama kumaliza muda wake 2030 kwa utumishi wake uliotukuka

Ww ni mzee ila unajifanya kijana, na kama ni kijana kweli basi utakuwa na mawazo ya kizee ile mbaya.
 
Urais nizaidi ya hayo, Kujuwa kwake Sheria siyo sufa pekee ya yeye kuwa Mkuu Wa nchi, anakosa vitu vingi Sana anavyopaswa kuwa navyo mkuu wa nchi, Akae na aendelee kujifunza kwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
Yaani Lisu ajifunze kwa huo uchafu wa CCM?
 
..lakini Lissu amesema mara nyingi kwamba hataki uraisi ambao utamfanya awe sawa na mungu mtu.

..uraisi anaoutaka Lissu ni ule ambao umewekewa uwigo wa uwajibikaji kwa bunge na wananchi.

..kwa mfano, Lissu hataki kuwa raisi mwenye kinga ya kutoshtakiwa.

..mtoa mada anakosea kumpima Lissu ktk aina ya uraisi ambao ameshaeleza kwamba hautaki.
 
Tindo nakwambia kuwa kwanza uwe na adabu, pili ukweli Ni kuwa Ni kwa vile tu huko mna uhaba wa viongozi wenye sifa ndio maana mnaona huyo mtu wenu ana unafuu japo kila mtu anajuwa kuwa hafai hata kidogo
Yaani Lisu ajifunze kwa huo uchafu wa CCM?
 
Ww ni mzee ila unajifanya kijana, na kama ni kijana kweli basi utakuwa na mawazo ya kizee ile mbaya.
Hayo Ni mawazo yako, lakini mawazo ya mamilioni ya watanzania Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Ndio sababu hata alipojaribu kugombea aliishia kuvuna aibu asiyoweza kuisahau
 
Hawezi kuupata Urais wa aina yoyote labda wa hapo ufipani
 
Tindo nakwambia kuwa kwanza uwe na adabu, pili ukweli Ni kuwa Ni kwa vile tu huko mna uhaba wa viongozi wenye sifa ndio maana mnaona huyo mtu wenu ana unafuu japo kila mtu anajuwa kuwa hafai hata kidogo

Narudia tena,huyo ni uchafu kama uchafu mwingine, ww ndio una muda wa kusujudia viongozi wanaongia madarakani kwa chaguzi za kihayawani, kwasababu wanakuhakikishia familia yako Kupata choo laini. Huko upinzani kuna viongozi kibao tena wenye uwezo, ila ww unajua lisu pekee ndio kiongozi wa upinzani, sasa hilo ni kosa lako wala sio la upinzani.
 
Hayo Ni mawazo yako, lakini mawazo ya mamilioni ya watanzania Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Ndio sababu hata alipojaribu kugombea aliishia kuvuna aibu asiyoweza kuisahau

Aibu itoke wapi kwa uchaguzi wa kihayawani vile? Kama huamini kama ulikuwa uchaguzi wa kihayawani, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama utapata matokeo ya uchaguzi ule kama sheria itakavyo.
 
Kuna viongozi gani huko wewe mvivu wa kufikiri? Huko Ni mkusanyiko wa wasaka tonge tu na ujanja ujanja wakutafuna Ruzuku za chama, ndio maana watanzania walishawapuuza
 
Aibu itoke wapi kwa uchaguzi wa kihayawani vile? Kama huamini kama ulikuwa uchaguzi wa kihayawani, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama utapata matokeo ya uchaguzi ule kama sheria itakavyo.
Niingie kufanya Nini badala ya kuangalia kazi ya kutukuka inayofanywa na mh Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania wanyonge mama Samia suluhu Hassani
 
Niingie kufanya Nini badala ya kuangalia kazi ya kutukuka inayofanywa na mh Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania wanyonge mama Samia suluhu Hassani

Haya ni mawazo ya mzee anayetegemea mbeleko ya viongozi kuendesha maisha yake hapa mjini.
 
Haya ni mawazo ya mzee anayetegemea mbeleko ya viongozi kuendesha maisha yake hapa mjini.
Mimi nipo na kilimo changu na jembe langu begani , wewe endelea kumsubiri huyo Lisu akupe muongozo
 
Buku 7 sio hadhi yako kabisa . nitumie namba yako nikuunganishe na yule utopolo toka zenji mgawa vyeo . wewe unastahili ukuu wa wilaya.
 
Upo sahihi kabisa, ni kama Miguna Miguna wa Kenya aliyepo uhamishoni Canada!
 
Akili ndogo hujadili watu baadala ya issues. Unamjadili Lissu ambaye hayupo nchini , unaacha kujadili mfumuko wa Bei ya vyakula. Wewe tukuite Nani?.

Yani kwako Lissu anakuumiza kuliko mfumuko wa Bei. Unashida kwenye system yako.
Bro hili ni litaulo la kudekia.
Linadekia uchafu wa mwenye nyumba na kukamulia maji machafu barazani mwa jirani (TL)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…