Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Wewe sio yanga, hauwezi kuwa yanga nenda kafue nepi za mavii uliyejinyea jana,maana ulitaka geita washinde, unajifanya mchambuzi wa mpira kumbe mchambuzi wa mihogo ya wanaumeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na save hii thread bibie.Ndugu zangu WAna yanga pamoja ya kuwa tumemfunga geita gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi WA geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo...
Huku kwa loosers Yanga hapataki anataka kwa winners!Unahemkwa kaa Nguruwe yupo kwenye joto
Hii post yako inatusaidia nini?Ndugu zangu WAna yanga pamoja ya kuwa tumemfunga geita gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi WA geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo...
Na wote ni first eleven,mazembe tunampiga kwao bila ubishiYanga congo ni nyumbani kabisa
Nusu ya wachezaji ni wazawa huko
Naweza sema tu akwenda uwanja wa nyumbani....
Kwamba ametumia jicho gani ?? [emoji1787][emoji1787]Umetumia jicho gani hilo [emoji867]
Ukimaliza kujifariji, kaa chini urudie kusoma uzi kwa makiniJamani ndugu zangu wanasimba ukweli mchungu ni kwamba hatuvuki hatua ya makundi maana pamoja na kwamba tumemfunga Vipers home and away tusidhani tutamfunga na Horoya kwa mkapa ukiachilia mbali yule Raja casablanca ambae atatupiga dazani tukienda arabuni. Faken
Pole kwa frustration baada ya yanga kurudisha goli na kushinda tatuNdugu zangu WAna yanga pamoja ya kuwa tumemfunga geita gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi WA geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo...
yanga anaongoza hili kundi,huo ndo ukweli mchungu.Ndugu zangu Wanayanga pamoja ya kuwa tumemfunga Geita Gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi wa Geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo
Yanga tuna point 7 kibindoni huku tukiwa nafasi ya pili lakin kwa game zilizobaki bado hatuwez kushinda na kutoka na points 3 mbele ya mazembe ambae alishajeruhiwa mara mbili na timu kutoka tunusia
Pia hawa jamaa WA Tunisia hawawezi kufungwa na kina moloko na mzize sijui musonda , tusidanganyane.
That's why eng.hersi alishasema kuvuka MAKUNDI ni ziada tu
Lakin malengo ya yanga kwa mwaka huu yalishatimia siku nyingi huko kwingine ni kiherehere au bonus.
Tunashukuru kwa kushiriki ndugu zetu Wana jangwani tujipange na champion mwishoni mwa mwaka.
Nimeandika haya kwa kutumia weledi mkubwa sana na jicho kali mno.
Hifadhi hii post mtakuja kunikumbuka ndugu zangu
Wanapita tp mazembe
Na us monastir
Mwisho WA siku
Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts
Yule Kiongozi wao mstaafu aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, hakika aliwaza mbali sana.Kipindi msimu unaanza
"Yanga msahau kuhusu ubingwa kabisa" sasa hivi gape ni point 8
" Yanga inabebwa ngoja mechi za kimataifa zianze " zilipoanza sasa michuano hiyo ni myepesi.
" Mazembe hawezi fungwa na Yanga " baada ya mechi
mazembe hii sio mazembe Ile.
" Bamako anakuja kumpiga Yanga hapa kwa mkapa" baada ya mechi Bamako hana tofauti na ruvu shooting.
Wana Simba tutaacha kujifariji lini? Mpira ni uwanjani na sio mapambio .
Madunduka mnapitia katika wakati mgumu ubora Yanga unawafanya muifuatilie zaidi kuliko timu yenuNdugu zangu Wanayanga pamoja ya kuwa tumemfunga Geita Gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi wa Geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo
Yanga tuna point 7 kibindoni huku tukiwa nafasi ya pili lakin kwa game zilizobaki bado hatuwez kushinda na kutoka na points 3 mbele ya mazembe ambae alishajeruhiwa mara mbili na timu kutoka tunusia
Pia hawa jamaa WA Tunisia hawawezi kufungwa na kina moloko na mzize sijui musonda , tusidanganyane.
That's why eng.hersi alishasema kuvuka MAKUNDI ni ziada tu
Lakin malengo ya yanga kwa mwaka huu yalishatimia siku nyingi huko kwingine ni kiherehere au bonus.
Tunashukuru kwa kushiriki ndugu zetu Wana jangwani tujipange na champion mwishoni mwa mwaka.
Nimeandika haya kwa kutumia weledi mkubwa sana na jicho kali mno.
Hifadhi hii post mtakuja kunikumbuka ndugu zangu
Wanapita tp mazembe
Na us monastir
Mwisho WA siku
Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts
Sina haja[emoji41]Ukimaliza kujifariji, kaa chini urudie kusoma uzi kwa makini
yote kheriNdugu zangu Wanayanga pamoja ya kuwa tumemfunga Geita Gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi wa Geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo