Ukweli mchungu ni kuwa Yanga havuki hatua ya makundi

Kama kwel unajiamini na huo weledi wako wa hali ya juu, bas toa namba yako ya cm ili tutafutane iyo siku ikifika, ila usipotoa namba basi siwezi hata ku coment chochote make utakua unatafuta kick tu huna lolote
 
post kama hii kaandika shabiki wa tp mazembe Sasa wewe umetranslate na sehemu ya mazembe umeiweka yanga.
 
Jicho Kali la wapi!?
 
Ila kabla ya hapo Kila mtu apambane na timu yake
 
Ww unayako tu .....ila sisi tunajua simba na YANGA zinavuka makundi zote
 
Yan tangu nimejua kusoma na kuandika sjawahi kusoma Matapishi km haya wala sjawahi ona mwandiko kinyaa km huu...Mazembe Amfunge nan? Labda akamfunge paka Kengele..😎hao monastir hpa Dar Wanapigwa goli 2 jumapili Kalili hii comment na jina Yanga kufuzu makundi ni mpango wa Mungu..mi ni mwanapaka anayejiita simba nipo palee📌🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…