Ukweli mchungu: Paul Makonda hawezi kuisafisha CCM iliyochafuka kwa ufisadi.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha.

Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu?

Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na kuhadaa kutatua kero zao wakati wameshaumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…